Security light

[emoji15] [emoji15] hii mabibo au[emoji780]
 
Haya ndio makosa ya UCHOCHEZI SASA, hapo si wanachochea wezi ili waibe ata kama hawakuwa na ratiba ya kuiba?....hahahahaaa...hapa DZ kila kitu kinaweza kuwa kosa la uchochezi.
 
hahahahaahahaha mbona hata mwanga unaweza kufifia kwa kukingwa na hilo chuma hahahahah
 
Ha ha ha kidogo nidhani ni mshumaa..! hiyo inaitwa kinga kabla ya ugonjwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…