Yote tisa kumi kuna kampuni inaitwa G4s hawa ukiwaona kwa juu ni brand kubwa, hakuna kampuni yenye utawala mubovu kama kampuni hii ,sku moja niliskia kwa wafanya kaz wao kuwa ukitaka kuhama lindo moja kwenda sehm nyingine kwamba unatoa rushwa ,ukitaka kukiendeleza kielim unatoa rushwa na ukitpata zarula unataka leave unatoa rushwa ,kama kwel iko hivo PCB wekeni mkono mtawanasa hata wiki haipiti hata kazi kuna walimu pale wanao wafundisha walinz wanakutimua ili uwape rushwa urudi ,Kuna mtu anaitwa jerry na wenzake waangaliwe kwel kwel,[emoji34][emoji34][emoji34][emoji34] siyo mim
Uzalendo kwanza