Secure your Android phone and Tablet PC | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Secure your Android phone and Tablet PC

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mars Rover, Aug 26, 2012.

 1. Mars Rover

  Mars Rover JF-Expert Member

  #1
  Aug 26, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 336
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  Nadhani kila mtumiaji wa simu huwa na hofu kuibiwa au kupoteza simu yake. Here is the solution; Kwa wale ambao wameshatumia Avast mobile security watakubaliana na mimi. Avast mobile security for Android phones n Tablets ni kinga madhubuti dhidi ya wizi wa simu via Anti theft program ambayo inakuwezesha ww kupata contacts za mwizi wa simu yako kipitia friend number utakayoset.
  Pia kupitia trusted friend number unaweza ku-access, wipe au lock simu yako na kuifanya ipige siren (king'ora) kuashiria simu imeibiwa also locating your phone using GPS is possible!
  All this remote commands zinafanywa kupitia SMS commands hizo hapa <http://www.avast.com/free-mobile-security#tab5>
  Pia unaweza remotely control simu yako on your Account portal kama utafanya registration.

  Pata avast yako on Google play <https://market.android.com/details?id=com.avast.android.mobilesecurity>
  Avast inapatikana bure na ndio most advanced mobile security software!
   
 2. Firewall

  Firewall JF-Expert Member

  #2
  Aug 26, 2012
  Joined: Aug 18, 2012
  Messages: 266
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Thanks mkuu. pia wadau wa android wanaeza tumia ANDROIDLOST app kwa ajili ya kuzuia wizi na kuilocate.
   
 3. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #3
  Aug 26, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,484
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  nai2mia hii, its the best. Ntajaribu na ya kamanda pia.
   
 4. Nyanya mbichi

  Nyanya mbichi JF-Expert Member

  #4
  Aug 26, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 2,444
  Likes Received: 670
  Trophy Points: 280
  bilabila mazee
   
 5. G

  Ginner JF-Expert Member

  #5
  Aug 28, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 1,116
  Likes Received: 221
  Trophy Points: 160
  kuna msanii mmoja yeye leo utamkuta kwenye dawa za asili kesho utamkuta jukwaani anahubiri inji na kesho kutwa utamkuta amefunggua kampuni anajitangaza eti anahusika na kuweka securities za dizaini hii kwenye simu za watu na computer.....ukiangalia maelezo yake ni kwamba kuna program ambayo wao wanayo ataiweka kwenye simu yako na utaweza kuicommand simu itoe kelele au kujiblock....hapa mjini kila mtu anajinsi yake ya kuingiza kipato
   
 6. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #6
  Aug 28, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,484
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  true dat
   
 7. Kiherehere

  Kiherehere JF-Expert Member

  #7
  Aug 28, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,773
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Good Guy,Firewall & Mars Rover mtu akiifomat hizo cm baada ya kuiiba hizo software huwa zinabaki au ni kwa wale wapiga ngwaku tu?? Tujuzane
   
 8. Kiherehere

  Kiherehere JF-Expert Member

  #8
  Aug 28, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,773
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Mfano mimi niliwahi kupotelewa na cm yangu Android A-300 nikiwa nimeisign pamoja na google mail....nilipojaribu kuinstalla hiyo avast (lakini kwenye pc yangu) kwa kutumia ile gmail account niliyo sign up kwa kupitia ile Android phone...inanitajia ile device A-300 kwamba ndo shotly ita"install"....wakati mimi nimejaribu kwenye pc...kuna mawasiliano yeyote??
   
 9. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #9
  Aug 28, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,484
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Kuna app zingine must ziwe downloaded na Android yenyewe. Ikisema hivo weka 2 cash ya kutosha au kifurushi on ur android baada 2 ya mda itaanza kudownload hiyo app
   
 10. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #10
  Aug 28, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,484
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Memory ikiwa wiped hamna kinachobak, so cm ikiibiwa ni ku2ma commands, za kucapture pics,retreave 4ne # na zingine ASAP. But its unlikely alieiba ataenda kuiflash ryt away na cm haina prob(unless well he/she is an IT Geek)
   
 11. Kiherehere

  Kiherehere JF-Expert Member

  #11
  Aug 28, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,773
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Its looks like you are not a Gud Guy....but you are the best guy on the matter....sasa hebu nielewe tajiri yangu....cm siko nayo. Ila wakati naibiwa (pia wakati nimeinunua nili"sign up" gmail account kwenye ile cm)
  Na ikiwa imeibiwa...ndo nilienda kujaribu ku"install" hiyo avast FOR MOBILE user...lakini (remember this) kwenye PC not in my Android.
  Katika hatua za kuinstall ndo nikaambia ni"log in" (gmail) nikatumia ile account ya gmail niliyokuwa naitumia kwenye ile Cm.
  So kilichofanya nishtuke ni kwamba, baada ya ku"sign-in" ikaeleza device kuwa ni A-300 ambayo ndo ile android yangu iliyoibiwa, wakati mimi niko kwenye pc.
  Sasa kuweka hela naweka wapi Gud Guy?? wakati cm anayo mtumiaji mwingine ambaye ni mwizi?? na istoshe ckuwa nimeinstall security software yeypte.Be a guy guy...nifahamishe mkuu
   
 12. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #12
  Aug 28, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,484
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  ohh pole, nlikua cjaelewa situation. In that case assuming mpaka leo Gmail acc yako iko signed in hiyo software itaanza kudownload as soon as there is enough cash kwenye sim(wherever it is). Nilidhani uko na cm ndo maana nkakwambia weka kifurushi au pesa ya kutosha. So after some time jaribu kutembelea website ya hiyo app u sign in kuona kama ipo active(although i doubt t maana nadhani mpaka u confirm t in your 4ne,) Kama cjakupata feel free 2 correct. Cja2mia hii software ila anyways maana nna Android acha nijaribu as if imeibiwa nidownload hii app via my acc then nichukue kifurushi as if i hav no idea wats goin on ntakupa feed back wat happens nd wat 2 do ili uipate cm yako mkuu!
   
 13. Kiherehere

  Kiherehere JF-Expert Member

  #13
  Aug 28, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,773
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Thanks mzazi am waitin
   
Loading...