Mama chuma
Member
- Sep 29, 2011
- 37
- 7
umeona eeeh yaani sipati picha mke wa mtu unavosogezewa kiti ukae ! mara umeletewa maua na choklate..yaani ni vile huyu mkunde original naheshimiana nae hapa jf ..ningetukanaje! nimeumia utadhani ni mimi
anafahamu maana nina pete kidoleni tena kubwaaa na mara nyingi huwa naongea na hubby in love tone akiwepo so he knows.
Mungu na anisaidie ila sikuandika yote yaliyotokea kufupisha story the mkaka anaweza kuwa amenizimikia ila mie walaaah yuko tofauti na type nnazopendaga mimi
mama chuma taratibu loh!Yaani unafamilia unadanganywa kama mtoto,hizo roses chocolate za nini,hapo ungempiga stop au usingepokea nakuanza kugawa,kwa kufanya hivyo umekubali zawadi na ndio maana akawa na nguvu ya kutaka mkale lunch,then kwa nini ulikubali kwenda nae lunch ungekataa kingeharibika kitu,jilinde na ujiheshimu kwani umesema sio type yako ina maana angekua na vitu flan flan unavyovitaka ungeisaliti ndoa?usiangalie pete kama kigezo angalia nafsi na matendo yako kama mama wa familia,ni hayo tu.
asante wangu! miss u bigpole wangu....
ni mke wa mtu source yeye mwenyewe! nashangaa mke wa mtu unakubali romantic offers kama hizi jamani! mkunde real umenidissapoint ujue!
....Mimi nasema wanawake wa kitanzania ni washamba sana....hivi una mume au mchumba wako unakaa una-enertain mambo ya kwenye movie eti maua, chocolet....hayo maisha na mme wako mchumba wako unayafikiria saa ngapi.......namuombaga mungu aniepushe wanawake WASHAMBA wenye AKILI ZA KITOTO NAMNA HII..
Naikumbuka hii picha ya passportsize sijawah piga picha ya namna hiyo, ni sura tuu ndo tumefanana ndo kinachonishangaza labda duniani wawili wawili.
mkunde ni shost wangu kitambo ..siwezi kumtukana hadharani....kwani akibeba mimba ndo atamkomoa huyo bazazi?Ehe Mkunde Original unalo safari hii tena. Me nipo pembeni deal nao, ila wanakufundisha maisha wote hawa. Uzuri waJF watu wengi wana upendo na wakweli hawataki ujinga. thamini ndoa yako na kulea mwanao, tena kumkomoa huyo beba mimba nyingine haraka uongeze mtoto mbele yake ashike adabu kabisa. Smile wanawake wote wangekuwa kama wewe haya majanga ya usaliti wa wake za watu yasingekuwepo. maana unampa mtu vipande vyake live na kumtukana juu, wewe ni hatari japo mkunde umemstahi.
Wengine wakiombwa ushauri wanamwambia jaribu au mlie pesa, etc which is non sense.
ila msimhofie mkunde maana ni mzuri ndio maana wanamsumbua sana wanaume ia yeye hawezi fanya hivyo.
Smile itamsaidia kama alitaka akiona mimba, atajua hd miezi 9 ipite halafu ulezi uje mhm atamkatia tamaa. Na mara mimba ikuharibu saa ngapi amtake tena hd anamaliza kulea ameshasahu na ni ofc mate r'ship imebakimkunde ni shost wangu kitambo ..siwezi kumtukana hadharani....kwani akibeba mimba ndo atamkomoa huyo bazazi?
kwani huna baba??kapimeni DNA
mpaka sasa mnaendeleaje??
just kaka na dada ma kuna element za kuja kumegana baadae?