hahah!!! mtu mzima ukapeleka moto nini?
hata mimi niliingiaga mkenge ivyoivyo kiongozi,nikikumbuka naishia kucheka tuKitambo hicho kidato cha kwanza mzee..unakutana na mtt uzungu mwingi..dear dear za kutosha nikajua mtt kashakolea..kumbe hamna kitu aisee