Secret codes women use on their men

Secret codes women use on their men

Sirudii. Watu wengine sijui hawajui haya mambo au ndio wanaita Ugumu mi sielewi.

Binti usichukulie hivyo ni kwamba mechanism ya ubongo wetu wanaume kuna kipindi ina-operate katika mode ya ''kutowaza chochote'' na hapo ndipo tunapochelewa kutambua hizi alama zenu. Sometimes huwa tunajikuta tunafikiria nothing wenyewe tunaita ''just chilling''.
 
Hata sipotezi muda kukuambia hayo yote najitahidi kuwa muwazi sio hadi unisome upoteze muda wako ni kuwa original tuu

Hivi kuna ulazima gani ku quote limada lote hilo halafu unaandika mistari mitatu tu?

Uki coment tu bila ku quote mada yote hutaeleweka?
 
Binti usichukulie hivyo ni kwamba mechanism ya ubongo wetu wanaume kuna kipindi ina-operate katika mode ya ''kutowaza chochote'' na hapo ndipo tunapochelewa kutambua hizi alama zenu. Sometimes huwa tunajikuta tunafikiria nothing wenyewe tunaita ''just chilling''.

Lakini kuna wengine hawana 'sometimes'. Ni wapo hivyo nadhani.

Ingekuwa ni kitu nilicho experience mara moja au mbili nisingesema.
 
Haya yaweza tendeka kama mwanaume ni mzee hafu mwanamke ana umri mdogo
 
huwa nikisikia anaitaja code no 12 basi huwa najiandaa kisaikolojia kabisa na kuifanya harmless basi ni kupita dukani kununua kitu au, M-pesa ndo manati ya mwisho
 
ivi inawezekana mtu mzima wa afya yupo macho asiwaze chochote kile,napenda kuelewa hapo

Inawezekana kabisa kuna kipindi ubongo unakuwa kwenye resting mode hasa ukiwa umetulia sehemu ya ukimya au ukiwa unasikiliza mziki laiiiiiini!!

Mimi kuna kipindi natenga muda wa kutulia tuli na kupumzisha akili nakuwa sitaki kelele hata nikipata 10 minutes tu zatosha sana. It gets me going and works very well for me.
 
Hivi kuna ulazima gani ku quote limada lote hilo halafu unaandika mistari mitatu tu?

Uki coment tu bila ku quote mada yote hutaeleweka?


Bro Eiyer habari yako
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaa hawataki kusikia pesa.
Japo thread sijasoma maana kimalkia hakipandi.
Leo nafanya ziara kote ulipo pita na mimi napita.
nahama tena

Alafu unapotelea wapi mamito? Nimekumiss balaa.
 
Back
Top Bottom