Namshukuru mungu kwa kusikia kilio changu, mimi nimechaguliwa mzumbe kusomea information technology system,
So naomben first batch na second batch wa mzumbe tupeane info juu ya nn kinahtajika na uhakika wa hosteli pia kwa ndugu wenzetu wa mwaka wa pili na watatu msisite kutupa mwanga hapa