jamani wana JF
kutokana mh. kawambwa amesema TAMISEMI watatoa post wiki hii! leo tarehe 10/9 na mimi ninavyojua wafanya kazi wa serikali huwa wanafanya kazi kuanzia j3 hadi ijumaa.Sasa kama hawatatoa leo basi kesho na kama kesho hawatoi basi changa la macho au kama kuna mtu mwenye maoni tofauti! itapendeza kama akiyatoa