Jamani naomba kuuliza, sasa kama mtu hayupo kwenye selection ya kwanza, na hii second selection pia hayupo, na amequalify kuendelea na form five (GPA 1.9) inakuwaje hapo, anatakiwa afanye nini tena, kusubiri tu, au anaweza ku apply chuo kwenye hizi nafasi za ualimu na uhudumu wa ngazi za afya.