NOOOH:!! unajua wenyewe ndo walisema yakwamba "wanafunzi zaid ya elfu 9 ndo hawakupata nafasi ya kuchaguliwa 1st selection" so it mean that wanavgezo ila nafasi hazjatosha any way lets waiting for "third selection" coz hii ndo Tz kila k2 kinapewa BICHWA
(#shikamootcra)
wakuu! mimi nimechaguliwa kwa comb PCB kimamba secndary! lakini napata shaka na hii shule kwani inaonekana ilikuwa aina advance level! wana jf msaada wenu kama mtu anaitambua hii shule