Second selection imeshatoka

Second selection imeshatoka

kumbe waliotumbuliwa na walioekwa sasa iv hakuna wenye afadhal.
Sasa ss tunaosubir second batch inakuaje au ndio tunasubir meli airport
prof yunus ni bora kuliko hao wanao ongozwa na mamko ya wazir wa vyuo vikuu tanzania
 
Yaaan! Sijui ata nifanyaje siku znaenda majina hawatoi uko ofisini sjui ata yanafanyaga nini,
Kuishi na wazembe ni kazi sana yani!!!!!!!!!?????

Sipendagi uzembe mimi!!!
 
ahaaa kama ni kiki wamepata TCU VS NACTE ila madogo si mmefundishwa uvumilivu uko kambi 821,811kj......kuwen wapole kama kaka zenu wa diploma ..... viva education
 
ko tukachukue IT wa rwanda ama... maana wa bongo ni wa matamko... kama la nacte
Weee acha tu huu mfumo wameuvamia,
Alaf ss ndio wa majaribio kudadek.
Mpaka Jana familia imenikaa koon wanajua nmezingua cha six
 
ikifika mpaka tareh 20 bado upo mtaan unajiandaa kuchekwa tu
na si kuchekwa tu tunasubili pale utakapo DISCO sijuh utawaambiaje mana na kuonea huruma uku principal ya kuingia chuo ikiwa ni C na si D ULIYOPATA
 
na si kuchekwa tu tunasubili pale utakapo DISCO sijuh utawaambiaje mana na kuonea huruma uku principal ya kuingia chuo ikiwa ni C na si D ULIYOPATA
Nan kakwambia nmepata D kudadek kama sio umbea
Kama huna cha kuchangia kaa pemben
 
Hili picha halisomeki kama Kuna part 3 labda umechaguliwa hiyo mzumbe vuta subira tuone mwisho wake
 
Back
Top Bottom