Second selection imeshatoka

Second selection imeshatoka

wamisako

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2015
Posts
917
Reaction score
872
Kwa wale mnao subir second selection TCU jaribuni kufatilia majina yenu kwenye vyuo vinavyoendelea kutoa majina mfano chuo cha saut Tabora hakikua kimetoa first selection lakin kimetoa first batch yakiwemo pia majina ya watu ambao waliomba chuo hicho katka second selection.
 
umesahau hii ni nchi ya ahadi na kumbuka wale 8000 waliokosa sifa ila wengi wamechaguliwa kaka money is power......
kumbe waliotumbuliwa na walioekwa sasa iv hakuna wenye afadhal.
Sasa ss tunaosubir second batch inakuaje au ndio tunasubir meli airport
 
Back
Top Bottom