cjaiona
Apo tayari..si iyo apo ume decide ku reapply so usha apply..lbd ukitaka ku change course ndo nenda apo kwenye my application ubadili then u submityeah kama hiyo picha inavyoonyesha
Mkuu nami pia nimepata tatizo kama.lako ii ni siku ya pili nawapigia wananiomba email na jina wanasema watashughurikia daah ngoja nisibr