Julius Husseni
JF-Expert Member
- Sep 9, 2016
- 1,435
- 1,195
Hahaha uandish na kukosa second round wap na waphuu uandishi wako angalia usije kukosa second round
Hahaha uandish na kukosa second round wap na waphuu uandishi wako angalia usije kukosa second round
It's you again. Duuh jirekebishe wewe jamaa, uandishi na second round vinauhusiano gani?huu uandishi wako angalia usije kukosa second round
inaweza ikawa kweliwavizieni jumapili wanaweza wakavujisha kama first batch,,
sipendagi ujinga mimi
mmmmmh wao wametoa wap, wakat mfumo umefungwamum tayar wameachia second batch
Hii n zaid ya subira sasaTuwe na subiraa tu jaman kuanzia mwanzoni mwa wiki ijayo maana kwamba juma tatu au jumanne na kuendelea
N mwendelezo wa kuachia au wanaachia yote kwa pamojaMimi jana nimewapigia tcu wamesema majibu yanatoka kuanzia juma tatu ya wiki ijayo
Mkuu tunafanana nami bado saut ya mbeya ya udom kwenye second batchMpaka kichwa kinauma yan washkaj zangu wote wamechaguliwa second batch.
Mm nmebakia solemba yan alaf vimebak vyuo viwil tu navyo kunihukum
Full mapresha

Duuuh kwel kaz ipoMkuu tunafanana nami bado saut ya mbeya ya udom kwenye second batch![]()
![]()
![]()