incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,530
- 4,273
Wakuu naomba tupeane updates kwa yeyote mwenye ufaham post za second round zitatoka lin?
Acha uongoNmeongea na tcu wanasema baada ya wiki mbili ndo zinatoka
Uongo wapi. Wapigie usikie majibu yao. Mm nmeambiwa hvyoAcha uongo
Kama ucku atakua amekujibu mlinzUongo wapi. Wapigie usikie majibu yao. Mm nmeambiwa hvyo
Hahaah kweli itakua kaota uyo jamaaaaKama ucku atakua amekujibu mlinz
Majibu yanatolewa na TCU kwanza kaka,afu badae ndo vyuo vinatoa majinamum tayar wameachia second batch
kweli namm nimeona..Majibu yanatolewa na TCU kwanza kaka,afu badae ndo vyuo vinatoa majina
Mwezi wa kumi tar12Wakuu naomba tupeane updates kwa yeyote mwenye ufaham post za second round zitatoka lin?
Daah cjui lin kexho c ndo tar 1 au wame2xahau?
huu uandishi wako angalia usije kukosa second roundDaah cjui lin kexho c ndo tar 1 au wame2xahau?