Second Round Application TCU



wadau mbona cas inakataa tena? msaada plz
 
hivi kamanda km umekosa unarusiwa kuomba vyuo vile vile
 

Hiki ni kipya alafu kipo eneo ambalo kama kikinuka ni simple kutatuliwa migogoro. . eneo ni boko dovya njia panda ya Mbweni barabara ya Bagamoyo ni chuo kipya.
 
Acha kupoteza watu kwa ujinga wako wakuto kufatilia mambo,nani asiyejua st.joseph campus ya arusha kuna migogoro ya accreditation yake?..i hate much knows.

Tunajua matatizo ya Arusha but hili tawi lao kila Mtu amelikubali. Liko Boko na ni Jipya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…