Call for oral interview tayari itakuwa tarehe 17 jan.... ila wameitwa wengiiii wa bukoba, mwanza na kahama..... dar mmoja tuu. Walioitwa wako kama 30 hivi.... pitia website ya NSSF.

Mimi mwenyewe nimeiona hiyo post humu humu jf.... Call for oral interview. Lakini kwenye website yao sijaiona. Sasa sijui huyu SUPU YA MAWE kaitoa wapi.
Simpo kwako wengine waliona magumu,imagine kama mtu ulikua umeingia kwenye pepa hujui challenges ambazo nssf wanaziface lazima uchemke kwenye strategies ila swali la kwanza kila mtu kapata japo wengine walikua haewajui viref vya pspf,lapf,gepf,ppf sasa hapo atajuaje function bora ya hao waliosoma social security na protection