Second born Wengi sio watoto wa ndani ya ndoa

Second born Wengi sio watoto wa ndani ya ndoa

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,050
Reaction score
61,375
Mtoto wa kwanza uhakika Ni wa kwako kwa sababu penzi bado jipya una muda wa kumbembeleza mke asitoke nje poa utamzalisha mwanao.Sasa mtoto wa pili tofauti itaanza mke Ana uwezekano mkubwa kuchepuka akaleta mtoto ambaye Ni lomoni.

Tukirudi kwa mtoto wa tatu chance ya kuwa wa kwako Ni asilimia kubwa kwa hiyo kifupi Ni kwamba usiogope ukitaka kuitwa baba fulani Ni Jambo zuri Ila tambua kabisa ma mix mengi yamepita hapo Ila usiogope kungongewa Ni Siri ya ndani.
 
Umefanya utafiti au umeandika kwa hisia tu!?
 
Kimsingi watoto wengi tunaamuliwa kuwa wa kwetu na wake zetu. Ukitaka kuwa na amani maishani usije kukubali kupima DNA.
 
Doh mkuu ushawahi kuona mifano halisi ama ni mawazo yako tu? Wewe ni mtoto wa ngapi? Mkeo ana mtoto wa pili unayemhisi si wako?
 
Wewe tu ,si umeona mjeda ana miaka 50 lakini penzi lilikuwa moto moto kwa mkewe mpaka akajiua na wana watoto wanne.
 
Unakuta hata wewe aliyekulea sio baba ako.

Tujifunze kutotafuta dhambi za wazazi wetu tupambane na zetu.
 
Back
Top Bottom