Second batch lini jamani kwa mwenye taarifa

Saiv hakuna haja ya kuwaza 2nd batch maana kama kwa siku unapata 200 sasa ya nn
 
Second batch watatoa very soon kwa sababu wale baadhi ambao jana waliandikiwa not allocated sasahivi account zao za heslb zimeandikwa loan breakdown-ma,bs,tuition fee,fpt,sfr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…