Search yangu ya mtandao wa maana unaendelea!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Search yangu ya mtandao wa maana unaendelea!!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Kang, Mar 6, 2009.

 1. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #1
  Mar 6, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,123
  Likes Received: 619
  Trophy Points: 280
  Nam! baada ya kuwa na Zantel kwa kama mwezi hivi nimeamua kuhamia Zain.

  Bei ya zantel ilikua inaniumiza sana at 120Tsh per MB, hii ni pamaoja na kujibana sana kiasi cha kuzima picha,flash,updates etc lakini wapi!!

  Sasa niko "Unlimited" package ya Zain ambayo actually ni 2GB kwa mwezi @Laki per month, which comes to 50Tsh per Mb.

  Kitu cha kwanza unachonotice ni speed ya Zain ni ndogo sana! On paper wanatakiwa wawe bora, wanadai wana 3G, ambayo Zantel hawana, lakini mimi napata speed za less than 10Kbps (much less) wakati simu yangu inasupport hadi 236.8 kbps.

  Wafanye haraka wafikishe hiyo fiber maana inatia uvivu hata kufanya kitu kwenye net!!
   
 2. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #2
  Mar 6, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Mimi natumia zain iko poa tu haina shida yoyote najua zantel ndio wana shida kidogo baadhi ya maeneo haswa wakati huu wa msmu wa mvua na mawingu
   
 3. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #3
  Mar 6, 2009
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,200
  Trophy Points: 280
  Kang,

  Sasa hii ni unlimited au 2GB/ Month? haiwezi kuwa unlimited halafu ikawa 2gb/month. Unaweza kufafanua vizuri zaidi?
   
 4. Kuhani

  Kuhani JF-Expert Member

  #4
  Mar 6, 2009
  Joined: Apr 2, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kingine Kang angetuelewesha, anasema speed ya Zain ni ndogo sana kulinganisha na wanachodai "on paper" ambacho ni 3G lakini yeye anapata chini ya 10kbps.

  3G ni nini na 10kbps ni nini? Kiasi cha data transmitted au kasi ya data transmitted.
   
 5. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #5
  Mar 7, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,123
  Likes Received: 619
  Trophy Points: 280
  Ok, ni 2Gb/Month.
  Lakini kwenye advertisement zao wanaiita "Unlimited Package":), pale Zain waliniambia wanafanya marekebisho kwenye hizo advertisement zao.
   
 6. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #6
  Mar 7, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,123
  Likes Received: 619
  Trophy Points: 280
  3G ni standard ya kasi ya data transimitted, hii standard strangely enough haiko set exactly, lakini inakubalika kuwa speed za 300 kbps (kilo bits per second) and above unaweza ukaziita 3G, sasa mimi napata around 10kbps.
   
 7. Kilongwe

  Kilongwe JF-Expert Member

  #7
  Mar 7, 2009
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 424
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  mkubwa pia unatakiwa kucheki wireless network card yako,kwani kama unatumia 82.11n hii inaweza kukupatia hiyo speend ya mia kadhaa lakini kama unatumia hizi b/g huwa zinaishia kwenye 28-54,tena utapata hiyo kama upo karibu na AP,Hivyo inategemea kwa hao Zain au Zantel jinsi gani walivyotawanya hizo AP zao,pia kuna mambo ya utaalamu kuangalia Overlapping ya Channels,Wanaweza wakawa wanatoa hizo mia kadhaa lakini kutokana na poor alocation and configuration ya minara yao ukakuta muingiliano ni mkubwa na hupati kama wanavyosema.
  Hivyo hilo tatizo linaweza kuwa ni lao au la kwako.
   
 8. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #8
  Mar 7, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,123
  Likes Received: 619
  Trophy Points: 280
  Hii ya Zain haitumii hizo Wifi n/b/g etc. Hii inaruka kwenye channel ya simu kama GSM vile, so inabidi ununue kifaa chao laki 3 nadhani, au utumie simu ambayo unaweza kuunganisha na PC, mimi natumia simu.

  Ni kweli lakini tatizo linaweza likawa upande wangu, siko teyari kutoa hela kwa jili ya modem yao, labda niazime nijaribu spidi. Kwa laki tatu ntavumilia!

  Modem ya 3G inakua kama hivi, inachomeka SIM card ndani
  [​IMG]
   
 9. JuaKali

  JuaKali JF-Expert Member

  #9
  Mar 7, 2009
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 785
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kilongwe,
  Unlike IEEE 802.11 networks, which are commonly called Wi-Fi or WLAN networks, 3G networks are wide-area cellular telephone networks that evolved to incorporate high-speed Internet access and video telephony. IEEE 802.11 networks are short range, high-bandwidth networks primarily developed for data.

  nafikiri hapo umechanganya kidogo, sioni ni vipi kuchanganya mobile na Wireless. IEEE std na Range (Hz) zao zipo tofauti kabisa.
  Unless sijaelewa mkuu Kang anatumia phone as a modem au stand alone.
   
 10. JuaKali

  JuaKali JF-Expert Member

  #10
  Mar 7, 2009
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 785
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ukweli halisi wa 3G hauna uhusiano wa moja kwa moja na speed ila na huduma mbalimbali zinazoweza tolewa na Network infrastructure inayosupport 3G. 3G networks enable network operators to offer users a wider range of more advanced services while achieving greater network capacity through improved spectral efficiency. Services include wide-area wireless voice telephony, video calls, and broadband wireless data, all in a mobile environment.
   
 11. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #11
  Mar 7, 2009
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Mkuu Kang,bado sijakupata!!!!! unatumia NOKIA PC SUITE au unatumia Modem??? Umenichanganya hapa (Ni kweli lakini tatizo linaweza likawa upande wangu, siko teyari kutoa hela kwa jili ya modem yao,) labda niazime nijaribu spidi. Kwa laki tatu ntavumilia!) inajikanganya na hii hapa.... (Sasa niko "Unlimited" package ya Zain ambayo actually ni 2GB kwa mwezi @Laki per month, )which comes to 50Tsh per Mb.
   
 12. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #12
  Mar 7, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,123
  Likes Received: 619
  Trophy Points: 280
  Natumia Motorola Phone Tools na simu ya Motorola. Sina hiyo modem yao.

  Laki tatu ni modem hiyo ya Zain, mtandao wenyewe ni laki kwa mwezi.
   
 13. Kilongwe

  Kilongwe JF-Expert Member

  #13
  Mar 7, 2009
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 424
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Du hapo sina la kuongeza...mimi nilikuwa nafikiria vingine kabisa,kimsingi kuna umuhimu wa kuja Nyumbani kujionea Technology inavyoenda.
   
 14. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #14
  Mar 7, 2009
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Most welcome kilogwe "from china to Tanzania with Education"....ulikuwa unafikiri kwa mapana sana..mkuu.Huwa natumia Nokia PC suite...kwa kusoma mail..Download unaweza kulia na kusaga meno...ni ghali sana....
   
 15. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #15
  Mar 8, 2009
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Mkuu Kang,mimi natumia Modem ya ZANTEL, nakiri kusema moja ni ya internet service provider nafuu sana... kwani kila MB 1 NI Sh.120 tu lkn wengine ni 180,260,.... nk
  Fanya utafiti...
   
 16. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #16
  Mar 8, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,123
  Likes Received: 619
  Trophy Points: 280
  Nilikua hiyo Zantel, ndo nimekimbia.

  Sasa Zain ni sh 50 kila MB! Lakini ni pre-paid laki moja kwa mwezi, unapata 2GB (2000MB).

  So inabidi upige mahesabu yako mwenyewe, kama unatumia kuchek email mara moja moja, zantel itakua cheaper in the long run. Lakini kama unatumia sana basi bora utumie Zain.
   
Loading...