Search Engines; Google na Bing

ivibration

JF-Expert Member
Oct 10, 2013
363
73
I know everybody here is using Google as a search engine. I agree, Google is popular, but I think Bing is better,, Just try to search something , one same thing using both of them n the results will make you prove me right. I reccomend bing for students and researchers.
 
sio kweli google is far much better than bing ukitaka kujiridhisha hivyo tafuta vitu locally i.e vya tz utaona results zitakazokuja kote kuwili
 
i know everybody here is using google as a search engine. I agree, google is popular, but i think bing is better,, just try to search something , one same thing using both of them n the results will make you prove me right. I reccomend bing for students and researchers.
tafuta 'vibogwa' kote kote then uje utuambiye nani mkali
 
Bing naipenda(wamejeuza lebo yao) kwa sababu wengi hawaitumii.,,kwa hivyo kama nafanya utafiti wa shuleni huwa napata vitu ambavyo ni vya kipekee... Lakini katika search bing haileti vitu vingi
 
may be Bing is the best because you can use it to get google URL when you forget it? :A S 39:
 
ngoja niwarushe roho fans wa google

google ukisearch pic hakuna filter nyingi kama bing.

mfano mi nataka picha za mrisho ngassa akiwa yanga au simba au taifa star nikisearch google ntapata picha random sababu hamna filter
AIfejwv.jpg


ila nikija bing ni raha kwenda mbele kuna filter za kumwaga
nikitaka ya simba naeka filter ya rangi nyekundu kitu kinakuja
K8ahVxC.jpg


nikitaka ya yanga filter ya kijani kitu kinakuja
sC1dfXf.jpg


nikitaka taifa star naeka filter ya blue
68FbK1b.jpg


mambo haya adimu inabidi fan wa google muje kukopa kopa huku
 
  • Kila seach engine ina Up and Down zake.
  • Ni vigumu kidogo kusema hii search engine ndio kila kitu - Kwa mimi huwa natumia zote
 
Back
Top Bottom