Mfano meta tag ya revisit unaiambia search engine ije kila baada ya muda fulani
Code:
<me t a name = " r ev i s i t - a f t e r " con t en t = " pe r i od" >
labda tuseme ije kila baada ya siku mbili
Code:
<me t a name = " r ev i s i t - a f t e r " con t en t = "2 days" >
hapo umemuambia search engine.
Lakini ishu ya kurank ni tofauti kuna vitu vingi kama idadi ya watu wanaovisit, backlink za website yako kwenye website nyengine na uchache wa coding error kwenye website yako.
Kama umekodi website vibaya bot wa google akija hana muda wa kufkiri ye anaruka tu usije ukawajazia pumba unakuta website haiwi visible sana kwenye search engine
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.