Nakumbuka siku ya kwanza kufanya scrub na massage ilikuwa tabu sana, mzee alikuwa akisimama bila utaratibu maalum, mwili unasisimka na hasa kama anayekufanyia ni mdada mrembo, wakati mwingine nilikuwa nashawishika hata kuomba mawasiliano au kuulizia kama kuna nafasi ya kupumulia. Namshukuru Mungu kwa sasa sipati shida na ninaona ni kitu cha kawaida kama kunyoa nywele tu au ndevu.
jamani wewe ulitekenywa tekenywa
potelea mbali, kusimamisha kwa wanawake wasionihusu sidhani kama ni shida, tamaa mbaya sana.
mkuu kila nikiona avatar yako nasituka.
na mwanamke inakuwaje?Wale wakijua ndo mgeni wa hayo mambo utajuta utasimamisha had mishipa ya fahamu ikatike
pole sana ntaibadilisha mungu akipenda
ndo maana yake, mara uingiziwe vidole masikioni huku ukibembelezwa kwa sauti nyembamba, siku hizi mgumu.
Nimekukosea nini mim acha
Usengenyaji