He!!
Kumbe inaruhusiwa kuchumbia mke wa mtu?
Afu wewe ndo chanzo cha utata wote huu, na hujatekeleza uliyoambiwa na una dakika kumi na tatu tu
mie ngoja nijifiche huku uvunguni, mkimaliza timbwili lenu niiteni kuja kukifinya kipunga maana sherehe lazima ituhuuu!!
Mkuu umesoma wajibu wako kwenye post ya TAMKO!?? bado dakika nane tu
Baba V a.k.a Pilato wa ndoa za watu... Wafanyieni mambo fasta mbona mnawabania sanaaa hao wapendwa?
Haya mzee wa kimboka nimekusoma, Leo wapi?Hatuna sababu ya kuwabania bali hawatekelezi taratibu