Screen ya simu yangu isirotate

Screen ya simu yangu isirotate

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,109
Reaction score
53,632
Natumia Nokia Lumia, naombeni mwenye msaada jins ya kuiset simu yangu ili kioo kisiwe kinalalaa au kurotate pale simu inapokuwa ipo slanted.
Napenda kuitumia sana nikiwa nimelala kitu kinachofanya nisiwe confotable.

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Huwezi kuzuia auto rotate katika windows 8 mkuu. sijajua kama kuna special app ya kukiwezesha.
 
Option ya kuzuia rotation ipo kwenye update mpya ya WP8 (GDR3) Au Nokia Black. Kama umeshaipata hiyo update basi kwenye setting kuna option ya kuzuia rotation. Ninatumia 920 na ninayo hiyo option.
Bittersweet_Shimmer_GDR3_screens1_thumb.png
 
natumia lumia 620. haina hyo update. naipataje?
 
natumia lumia 620. haina hyo update. naipataje?

Haijatoka kwa 620 bado, ila inakuja soon. Inategemea pia kama hiyo simu ilikuwa ya network fulani au ambayo iliuzwa moja kwa moja na ya nchi gani. Cheki Availability in Europe - Nokia yangu pamoja na kwamba nimenunua bongo ni from Italy, ukienda kwenye Setting->About Kwenye Carrier itakwambia ni ya nchi gani.

Pia kuna njia ya kuforce update ila karate nyingi kidogo, unaweza kucheki Get GDR3 today: Microsoft announces Windows Phone Preview for Developers | Windows Phone Central kama unataka. Ila nakushauri usubiri tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom