KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,828
- 12,321
Naomba kujua jinsi ya kutest (number) screen ya iphone au sumsung.
Mkuu ngoja nikupe ya samsung
LCD TEST
*#0*#
*#1234#
Uwe na subira wengine watakuja kuleta vingi
kuitest kama imefanya nini mkuu maana wengine hayo matekinolojia yapo nyuma kiduchu..