Screen shot tecno m3

*#*#4636#*#* does magic.....full WCDMA
naomba kuelekezwa hii kitu natumia tecno M5 hizo namba unaziandika wapi? maana kwangu nikiz USSD inaniletea information mbalimbali za simu
 
Hapo Mdau acha nikurekebishe kidogo mi natumia p5 nimetafuta hyo app ya kuread cpu nimepata na inapiga kazi na imenionyesha manufacture so hebu chunguza upya
 
Wakuu mie natumia techno M 3 naomba kujua hiyo screen ni nini inafanya kazi gani?
 
*#*#4636#*#* does magic.....full WCDMA
naomba kuelekezwa hii kitu natumia tecno M5 hizo namba unaziandika wapi? maana kwangu nikiz USSD inaniletea information mbalimbali za simu

jamani iligoma kwa M3 Yangu.... ni nini mbaya?
 
Wakuu mie natumia techno M 3 naomba kujua hiyo screen ni nini inafanya kazi gani?

screen shot ni picha unayoipiga screen ya simu yako mkuu.... na kufanya hivyo unabonya batani ya kuzimia simu na ya kupunguzia sauti kwa pamoja.
 
Hapo Mdau acha nikurekebishe kidogo mi natumia p5 nimetafuta hyo app ya kuread cpu nimepata na inapiga kazi na imenionyesha manufacture so hebu chunguza upya

unazungumzia hii mkuu?
 
Attachments

  • 1398439396656.jpg
    19.1 KB · Views: 160
imekubali, lakini kwa tecno m5 pia kuna njia nyingine mbadala ya kulifanya hilo jambo bila ussd, unafanya hivi
setting>more> mobile networks>network mode> then choose ur network operator, eg voda, tigo, or airtel> WCDMA only
 
Ngoja na mie nijaribu,je tunaokaa huku kijijini inatufaa hii kitu?

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
nikiandika hizi code zinapotea kabla sijamaliza kuziandika

Zinatakiwa zipotee unapoandika ile reli ya mwisho. Kwenye screen inayokuja ndio unaenda Phone Information
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…