KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,830
- 12,314
Tangu ninunue ni mwaka sasa sijawahi weka hio protector.Hii Simu nilinunua mwezi wa 9 mwaka jana, mpaka inafika mwezi wa 12, nilikua nshaweka screen protector 3 (ya elfu 5, elfu 7 na elfu 10).
Ukisahau 100 mfukoni, au ukaichanganya na funguo, unakuta ishapasuka.
Nilikua najiuliza sana, inawezekanaje hii gorila glass iwe protected na plastic cover??
Kuanzia mwezi wa 12 mwishoni niliachana na huo wizi wa kununua protector, na simu yangu sasa haina michubuko na inaonekana kama mpya, mwonekano wa kiwandani kabisa.
Wakuu, achaneni na hizi protector, ni aina nyingine ya wizi, CAG na au TBS wanapaswa kuchunguza. Hazina viwango na sidhani hata kama hata zinafikia hardess/kiwango cha gorilla glass 0.5. Kwanza hizi protector zinaharibu mwonekano wa simu.
Protector ni wizi mtupu.Ni kutupilia mbali.Na kuna ile liquid protector ambayo inaharibu kabisa screeen na ni WIZI MTUPUHii Simu nilinunua mwezi wa 9 mwaka jana, mpaka inafika mwezi wa 12, nilikua nshaweka screen protector 3 (ya elfu 5, elfu 7 na elfu 10).
Ukisahau 100 mfukoni, au ukaichanganya na funguo, unakuta ishapasuka.
Nilikua najiuliza sana, inawezekanaje hii gorila glass iwe protected na plastic cover??
Kuanzia mwezi wa 12 mwishoni niliachana na huo wizi wa kununua protector, na simu yangu sasa haina michubuko na inaonekana kama mpya, mwonekano wa kiwandani kabisa.
Wakuu, achaneni na hizi protector, ni aina nyingine ya wizi, CAG na au TBS wanapaswa kuchunguza. Hazina viwango na sidhani hata kama hata zinafikia hardess/kiwango cha gorilla glass 0.5. Kwanza hizi protector zinaharibu mwonekano wa simu.
Mfano Una gorilla 5, ukiweka hako ka karatasi ni value for money!?Screen protector zililetwa kuzuia michubuko kwenye kioo cha simu kwasabab ukiipasua au ukiiscratch kuibadilisha ni bei rahisi kuliko kubadili kioo hali cha simu kikiwa scratched.
Zina umuhim wake kwa wasiotaka kuscratch kioo cha simu kwasababu utakiscratch tu siku moja. Ni swala la muda
Mkuu, sorry Ka nimekuharibia biashara, Ila ningeendelea kuwa nabadili protected, ningekua nshamaliza laki.Kuna siku isio na jina wala saa UTAJUA HUJUI
Kama ina Ile cover yake, usiwe na wasiwasi, hata ikianguka kutolea usawa wa kiungo.Aisee Jambazi mi natafuta screen protector ya Oppo FI Plus kama unacho tuwasiliane jambazi langu.
Ebu niibie A, B C kuhusu OPPO maana nahitaji kununua hiyo simu hivi punde kwa udi na uvumba.Aisee Jambazi mi natafuta screen protector ya Oppo FI Plus kama unacho tuwasiliane jambazi langu.