Screen protector ina kaz gani?

Screen protector ina kaz gani?

Luvanga1

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2014
Posts
2,025
Reaction score
1,711
habari ya kazi wana jf

hivi screen protector ina kazi gan kwenye simu naomben msaada wenu Asante!
 
habari ya kazi wana jf

hivi screen protector ina kazi gan kwenye simu naomben msaada wenu Asante!

Inakinga screen dhidi ya mikwaruzo, Madoa makali, kemikali inayoweza kuharibu mng'ao wa kioo, pia finger prints na majanga ya kioo kukwaruzika pale simu inapodondoka kwenye kitu kigumu kama vile mchanga/kokoto au unapoweka simu mfukoni pamoja na sarafu au funguo za nyumba/gari.

Protector inabadilishika kirahisi kuliko screen, na pia ni gharama nafuu.
 
asante sana
 
Kuna jamaa m1 nilimnukuu akisema pia screen protector inakukinga dhidi ya mionzi mikali ya mwanga wa cm Luvanga1

kuna protector zenye nakshi mbalimbali. kuna zile zisizo na nakshi kabisa ambazo zinaitwa CLEAR TYPE , hizi hazipunguzi mwanga wa kioo. kuna zingine ambazo ni TINT ambazo hizo zinasaidia kupunguza mwanga kwa kiasi kulingana na uzito wa tint yake, tatizo la hizi tinted protectors zinakuzuia kuona kwenye jua ila ni nzuri sana kwenye giza. pia kuna protector zingine zenye nakshi kama crystals zinazong'aa kwa madotidoti
 
Last edited by a moderator:
mimi samsungi yangu si ipepasuka LCD mwe kina nikiuliza wananiambia 250 usd
 
Back
Top Bottom