"Scrambled Channel" Error inasababishwa na nini kwenye Decoder za QSAT ?

Chanel za mpira ndo zinascramble sana...nimebadili sana line nilianza ma voda....airtel
....tigo

Nitumieni link ya hiyo site kwa ajili ya kuupdate

Jamani mimi mbona nimeweka account ya cccam lakini bado kanazingua nifanyeje sasa

Mbona mimi nimekinunua hv karibuni tu kama mwezi lakini chanel zinascramble muda wote....kwa hiyo hata mimi inabd nitafute update ya firmware na jinsi ya kuupdate....tumia link na nimeweka account ya cccam lakini bado sioni tu

CCcam server address ni ipi?
Umejaribu kutia modem?
 
Wakuu nataka kutumia moderm ya airtell badala ya sim card ya voda kwenye q23sat je inafaa zaidi ya voda sim?
Kwa watumiaji wapya wa QSAT/CCCAM
  • Kwa hitaji la Qsat FTA Receiver & 3/6 CCCAM Account ni PM/whatsapp 0784 496 856 KARIBU
 
Salaam! Nimekuwa napata channel za premium vizuri ila sasa connection inaonyesha signal strength 94% lakini signal quality 0%. Siku zote quality ilikuwa 62% na ilikuwa clear and stable. Ila sasa ni 0% so sipati picha. Issue inaweza kuwa nini? Natumia QSat 13G.
 

Hiyo tatizo ni waya kutoka kwenye dish
Either waya haujauchomeka kwenye LNB IN port au basi Kunguru wametengua pale juu kwenye dish waya unaotoka kwenye LNB

Hiyo simple kui solve tu so jiongeze hapo
 
wakuu nina karibu week na nusu sipati channel za canal kwenye qsat23 na nina tumia cccam problem ninn
 
Free CCcam from me both ZAP and DSTV

C: vpnguruz.systes.net 12000 jf001 nju001

C: vpnguruz.systes.net 12000 jf002 nju002

C: vpnguruz.systes.net 12000 jf003 nju003

C: vpnguruz.systes.net 12000 jf004 nju004

C: vpnguruz.systes.net 12000 jf005 nju005

1Hour Test

For details visit
http://vpnguruz.sytes.net:81
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…