Jamani vipi kuhusu hizi decoder za qsat mbona zinazingua.....especially yangu yan muda wote inasema SCRAMBLED CHANNEL!!Wadau wa qsat tatizo ni nini???
Update kaka hata yangu ilikuwa yazngua jana nilitumiwa update after ku update ikarudi kuwa safi
Update kaka hata yangu ilikuwa yazngua jana nilitumiwa update after ku update ikarudi kuwa safi
Upadate ipi kaka? Nachojua Q Sat yangu imebakiza siku 140. Au unazungumzia update nyingine?
Ova.
Update kaka hata yangu ilikuwa yazngua jana nilitumiwa update after ku update ikarudi kuwa safi
Kwani zinauzwa bei gani na wapi?
yeah. umesema kweli. hivi vidude havimfai mtu wa kufungiwa na kupewa remote. unatakiwa uchangamke na wewe.wewe jidanganye na hizo Siku 140 wachina Siku hizi wamekuwa wahuni wanakuuzia software ya mwaka mzima matokeo yake baada ya miezi2au3 inaacha kufanya kazi ukifuatilia utaambiwa Mara wamebadilisha software Mara inatakiwa uweke account mpya yaani hivi vidude full usumbufu.
hzo update ni za q23g ???na naweza zipata??
Mi ninayoukizipata na mimi nijuze kaka...
nini? update? au decoder zenyewe? au account?
Naona Kaburu kazibana SS zote, maana ktk Q Sat yangu zimezima, ila nyingine zinapiga mzigo na ziko stable.
Ova.
End of Internet key sharing is drawing near on ir*deto
CCcam zenyewe ile ya tatu inaganda kufa mtu mpaka ukimbilie max 1/can sprt
Kumbe siko peke yangu. Ila huenda mi tatizo ni jingine maana mimi nimeuziwa kilichopitwa na wakati (Q13G) so ni kama sina tu declder maana channel zinazoonekana ni za m-net tu. SS haizionekani. Nikadhani issue ni dish huenda linahutaji settings. But seriously ni full dissapointment.
Kitu ambacho hauelewi ni kwamba yale ni makasha tu kitu cha muhimu ni server hapo...
Wale ambao Qsat zao zime expire wanauziwa "AcamHD" code ambayo ni server inayotumika kwenye Q23G hivo kwa wale walio renew decoder zao za xmaster au qsat kwa code 44,45,46 hawana tofauti na watumiaji wa Q23
All in all mm navyojua hawa watu wana play around na ss maana haileti maana kabisa kupanDisha bei ya ku renew kwa zaidi ya nusu ya bei ya awali na bado hiyo wanayoiita server mpya bado nayo ina matatizo kibao...
If we dont wake up(we Tanzanians) and setup our own servers wanaija,wakenya na wachina watazidi kufaidi hela zetu kwa hizo servers zao i.e CCcam na Avartacam
Hivyo unamaanisha naweza pata access ya SS kwa QSat yangu ya Q13 kwa kununua AcamHD? Hebu nipe mwongozo tafadhali mi kama ulivyosema ni kweli sielewi.
Kwa sasa hauwezi Ona mpira bila kuwa na CCcam ambayonayo inaonesha SS3 lkn wakati wa match watu wakiwa wengi efficieency inapungua hivo ukitaka kuwa safe na peace unaamia Max 1/canal sprt