Binafsi siungi mkono mapendekezo ya viongozi wa nchi za kiafrika kuhusiana na kujiondoa katika mkataba wa Roma ulozaa mahakama ya ICC.....leo hii tunaona wazungu walicheza deal la maana kuligawa bara na kuweka mipaka hadi kiasi cha kufikia kuwafukuza walovuka mipaka ya "wazungu" na kuwaita haramu, huku tukisema mahakama ya ICC NO! kama tuliikubali mipaka kwa nguvu zote na vigelegele juu...wacha tuishangilie mahakama ya ICC pia.....kumbuka huku africa tunauana wenyewe wala si eti tunawaua wazungu au wachina au wakorea,ni sisi kwa sisi....kama kuna mwenye ushahidi anambie ni mtu gani ameshtakiwa na ICC kwa kusingiziwa kuua au kusababisha mauaji?nani?
Wakenya watu wa ajabu sana...nakuhakikishia kilichowafanya wawe na uchaguzi wa amani kiasi cha kuigwa mfano ni woga wa Okampo na si ukomavu kisiasa au mapenzi baina ya viongozi na raia wa kenya/siasa safi, sasa ndo wa kwanza kufuja kodi ya wakenya kukaa kujadili kujitoa ICC...kweli?
ROHO INAUMA NINAPOTAFAKARI HILI...