ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,109
- 49,811
View: https://twitter.com/jcniyomugabo/status/1729163050480005249?t=i7hhqtCU199pYVTUS_-GaQ&s=19
Kinyang'anyiro Cha Kumiliki rasilimali za Afrika kinazidi kupamba moto baina ya USA na Washirika wake wa Ulaya Kwa upande mmja Dhidi ya China.
China ilizimdua Mkakati wake unaojulikana kama Road and Bridge Initiative (RBI) ambao ulilenga kujenga maelfu ya miundombinu na kutoa mikopo ya kuwezesha ujenzi wa Miundombinu barani Afrika na kusaini MoU na Nchi zote 52 za Africa.
Baada ya Marekani kuona anaachwa nyuma nae amekuja na jibu Kwa ku pumba mamilioni ya Dola kwenye Ukanda wa usafirishaji unaojulikana kama Lobito Transport Corridor ambapo inalenga kufufua reli ya zamani na kuongeza mtandao wa reli kutoka Bandari ya Lobito Angola Hadi kwenye migodi ya Madini maeneo ya copper belt Nchini Zambia na DRC.Aidha zaidi ya km 250 za barabara zitajengwa kama feeder roads za reli Mpya.
The Lobito Corridor: Washington’s Answer to Belt and Road in Africa | Geopolitical Monitor
With the launch of the Lobito Corridor, Washington has made clear its intention to compete with China’s Belt and Road Initiative in Africa.
www.geopoliticalmonitor.com
Swali.
Je, this time around ,hii vita ya Kiuchumi ya Mabeberu itatunufaisha au tutaliwa kama zama za Ukoloni?
There is a new scramble for Africa
In 2024 foreign meddling is set to intensify, fuelling the fires of conflict and strengthening the hand of autocrats and military juntas
www.economist.com