Scottish independence results: NO side wins plebiscite!

Scottish independence results: NO side wins plebiscite!

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Posts
124,769
Reaction score
288,329
Scottish independence results: YouGov poll predicts 54% no, 46% yes - live

LiveRolling coverage of the results of the Scottish independence referendum as they come in, with reaction and analysis of the vote that could lead to Scotland leaving the United Kingdom

Wasiotaka kujitenga Scotland waongoza


140919005242_scotland_vote_count_edinburgh_512x288_getty_nocredit.jpg

Matokeo ya awali ya kura ya maoni ya uhuru wa Scotland yameanza kutolewa huku wasiotaka kujitenga wakiongoza..

Tayari majimbo zaidi ya 20 yametoa matokeo huku wanataka kubaki chini ya himaya Uingereza wakiongoza kwa kupiga kura ya hapana kwa asilimia 55 dhidi 45.

Moja wapo ni Jimbo la Clackmannanshire ambalo limepiga kura ya hapana katika matokeo yaliyotolewa asubuhi hii.

CHANZO: BBC

========

By Farrel Jnr Foum

Kura za hapana zilizoshinda leo hazijaja kwa urahisi maana ahadi za kurejesha mamlaka makubwa Scotland yataifanya nchi hii kuwa na mfumo mpya wa muungano wao.

Bwana Alex Salmond namuona ni mwenye kipaji kikubwa na mwenye kujiamini, anajuwa anachokifanya na nina hakika hii ilikuwa ni one man war against vyama vyote vikuu, hata wakubwa waliostaafu na kubezwa katika siasa za nchi kama Gordon Brown naye pia alijitumbukiza kuhakiksha hawajitengi na umoja wao.

Dunia nzima ilihamia Scotland kuhakikisha no vote inapatikana. Nakumbuka hata Bill clinton nae aliwasihi kutojitenga kwa vile madhara yake ni makubwa zaidi kwa alliance wa marekani wanaemtegemea.

Kura za asilimia 45 ni nyingi ukitazama namna gani alivyoshinda na establishment ya miaka 300 ya umoja wao. Lakini naamini hakufanya tu bila ya plan maalum ya kuhakikisha madai ya Scotland yanasikika vizuri upande wa pili na pia mabadilko makubwa zaidi ya matarajio ya wengi ya kimamlaka kwao yanapewa nguvu hasa pale wataposhindwa kujitenga.

Kwa waskotish leo ni ushindi juu yao kwa vile miezi minane inayokuja tutaona namna gani mamlaka makubwa yakielekea North kuanzia masula ya fedha, kodi, na hata uwezo wa kupanga fiscal policy zao.

Chancelor wa fedha anaporwa mamlaka makubwa ya maamuzi kuelekea devolution ya bunge la scotland huku hata mgao wa fedha kwa scotland ukiengezeka maradufu kuliko kwa waingereza wenyewe. Hio ndio cost ya umoja wao.

Projects kubwa kubwa kama za welfare na hata pension zitawanufaisha zaidi waskotish kutokana na mamlaka waliokubaliwa kupewa. Lakini kuna possibility kubwa kwa England nayo kupewa devolution ya bunge lake.

Hili halina mjadala, ninaamini katika miezi minane ijayo kilio cha waingereza kitazidi kukuwa hasa baada ya UKIP kulivalia njuga suala zima la mamlaka makubwa kwa Scotland wakiwa si wapingaji bali wakidai nao usawa kwa bunge lao mahsusi kwa yale yaliokuwa hayamo katika umoja wao.

Kwa sasa mamlaka waliopewa waskotish yatazidisha kelele za devolution kwa england ili kuepusha wabunge waskotland kuchangia masuala wasio yahusu ambayo kwa sasa yatazidi kuwa makubwa zaidi.

Wanaomdharau Alex Salmond hawajui strategies zake na za SNP walizozipanga, kwanza wataendelea kuwa madarakani kwa muda mrefu zaidi, kwa vile asilimia kubwa ya kura walizopata zinaonyesha wataweza kuunda serikali hasa kutokana na ukweli wa kutoiva kwa Labour na Tory katika uundaji wa serikali ya pamoja.

Pili wataendelea kuyatumia mamlaka watakayoongozewa kwa faida ya watu wao na zaidi kwamba wameweza kukidhi ahadi walioitoa ya kuleta referendum baada ya kuchaguliwa.

Hili kwa upande wa uingereza chini ya uongozi wa Cameron linawaumiza kichwa kwa vile ahadi yao ya referendum kwa EU wameshindwa kuitekeleza kwa woga wa kushindwa na hata Labour pia anafahamu challenge zinazowakabili mbele yao.
Nilioyasoma kwa wenzetu:-

Kwanza ustaarabu walioutumia kuhakisha kampeni zao zinakwenda kisheria na kuheshimiana.
Pili uhuru wa maoni ya kila mmoja bila ya kufukuzana, kupandikiziana kesi na kutishana kwa uingiaji wa msituni kupinga ukuwaji wa maoni ya wananchi.

Tatu hakukuwa na matusi yalioelekezwa kwa aliekuja na kura ya maoni kwa sababu uhuru wa kusikiliza maoni ya wananchi unaheshimiwa na demokrasia ni nguzo ya utawala wenye nguvu.
Nne umoja umelindwa kwa kusikilizwa malalamiko yao na kuhakikisha unalindwa kwa kuwapa mamlaka yao waskotish wanayoyadai.

Tano kwa lolote lenye mashaka, njia bora ni kurejea kwa wananchi na kuweza kupata kauli moja kubwa ya kuondosha utata.

Sita wingi wa wabunge wa SNP katika scotland haukuwafanya kupindisha taratibu au kupandikiza maoni yao kwa jambo lenye nguvu ya wananchi, walikubali kulirejesha moja kwa moja kwa wananchi kusikiliza maoni yao.

Saba umoja wa kweli ni wa kuheshimiana, wa kufuata haki na usawa kwa kila upande.
Nane hata katika miungano mikubwa yenye faida kwa pande zote ikiwa hakuna haki, usawa, heshima na kusikilizwa kwa maoni ya wananchi hakuna guarantee ya kudumu kwa miungano hio.

Tisa tunapojadili faida za miungano tujikite katika uzito wa hoja si kelele za mchele wa mbeya na tashtiti za dharau kwa wengine. Khofu ya jeshi kuchukuwa nchi na tashtiti za kutuita wauza vitunguu haitasaidia kurejesha umoja tunaoutamani.

Kumi tunapopima faida za kuwepo kwa muungano tusidharau mchango wa sehemu nyengine kwa sababu ya udogo wake na udogo wa population yake.

Uingereza inapopulation ya watu milio sitini, scotland milioni sita, ratio ya 6:1. Na kwetu pia milioni arobaini kwa milioni moja haiwapi haki walio,wengi na kuzima kwa wachache.

Nimalizie kwa waliofurahia referendum ya No vote kwa Scotland, wafahamu kwanza faida ya referendum ambayo kwa upande wetu imekuwa ikichezewa chezewa kisiasa.

Pili ikiwa referndum ya no vote ya 55% ni ya kupigiwa makofi na kupongezana, wakumbuke pia mabadiliko ya zanzibar ya katiba ya 2010 yalikuja na ushindi wa asilimia 66. Imagine kama No vote wangelipata ukubwa wa majority ya asilimia 66.

Wito wangu ni kwa wenye mamlaka kutuuliza nasi wananchi wa nchi hizi mfumo gani wa serikali tunaoutaka katika muungano na mabadiliko tunayoyatarajia.

Tunahitaji kura ya maoni kutuuliza kwa uwazi muelekeo wetu sio vyama kubeba hatamu na matashi ya wananchi.
 
The polls have closed and counting is under way in the referendum to decide whether Scotland should stay in the UK or become an independent country.
Counting will be carried out through the night, with individual results announced for each of Scotland's 32 local authority areas.
The final national result is expected after 06:30 BST (05:30 GMT) on Friday.
A YouGov on-the-day survey published shortly after polls closed suggested "No" was on 54% and "Yes" on 46%.
The survey questioned 1,828 people after they voted, together with the postal votes of 800 people, although it is not a traditional exit poll.
YouGov said its responses suggested there had been a small shift from "Yes" to "No" on polling day, and also that "No" supporters were slightly more likely to turn out to vote.
A "Yes" vote in the ballot would end the 307-year-old union between Scotland and the rest of the UK.
In other developments:

  • Turnout is widely predicted to top the 83.9% recorded in the 1950 general election - the highest in the UK since the introduction of universal suffrage in 1918
  • Police are reportedly investigating allegations of electoral fraud relating to 10 ballot papers in Glasgow
  • Scottish First Minister Alex Salmond tweeted: "This has been a remarkable day. Scotland's future truly is in Scotland's hands"
  • Blair McDougall, director of the pro-Union Better Together campaign, said he believed a "No" vote would be revealed over the course of the night
  • Twitter says 1.5 million tweets about the referendum have been sent in the past 48 hours
  • For latest results and full coverage, go to bbc.co.uk/scotland-decides
President of pollsters YouGov, Peter Kellner, said he was 99% certain that Scotland would vote to remain in the UK.
He told Sky News: "At the obvious risk of looking like a complete prat in eight hours' time, I would say it is a 99% certainty of a 'No' victory... I can't see 'No' losing this now."
Mr Kellner said his research had suggested "substantially more" people switched from "Yes" to "No" than the other way around.
SNP MSP Humza Yousaf conceded that the "Yes" campaign were the "underdogs" in the referendum, but said they relished that status.
_74982321_line976.jpg

Analysis: Brian Taylor, BBC Scotland political editor The evidence from throughout Scotland is of a large, indeed a phenomenal, turnout. A series of questions arise from that.
One, will this benefit one side or the other? That depends upon differential turnout. Is one side or the other feeling more motivated, more inclined to participate?
It had been thought that the more motivated side would be Yes. It had been thought this could be worth one or two per cent in the final tally.
However, at these huge levels of interest, that may be open to challenge. It seems that the entirety of Scotland is engaged. We shall see.
Read more from Brian
_74982321_line976.jpg

Continue reading the main story Guide to referendum night

4.2m
registered voters

97%
of electorate


  • 7am polls open
  • 10pm polls close, counting begins
  • 32 counts across Scotland
  • 6:30-7:30am expected declaration
Source: Elections Scotland

Responding to the YouGov poll, he told the BBC: "We've had one poll, but it's not an exit poll and it certainly won't take into account the high levels of turnout that we're seeing and hearing about across the country."
Pro-Union campaigners were encouraged by the early signs in East Lothian, where postal votes were said by observers to clearly favour "No".
But a Labour independence campaigner at the Dundee count, where the total turnout was 78.8%, said the outlook in the city was very good for the "Yes" campaign.
Labour shadow foreign secretary Douglas Alexander said the story of the early part of the evening was the "enormous turnout".
"We should all feel both extraordinary pride and a certain humility when it comes to a turnout of this scale because it is literally unprecedented," he said.
"Predictions at this stage need to be taken with a barrel of salt not just a punch of salt."
_77681508_afp.jpg

_77681475_getty2.jpg

As soon as Scotland's 2,608 polling places closed, work began to transport hundreds of ballot boxes to counting centres in each of Scotland's 32 local authorities.
These will include votes cast from the 789,024 postal vote applications, which was the largest volume of registration for postal votes ever in Scotland.
The bulk of the local results are expected to come between 03:00 and 05:00 BST (02:00 and 04:00 GMT) on Friday.
And, for the first time, 16 and 17-year-olds all across Scotland were able to vote.
Once the results from all the local authority areas are known, chief counting officer Mary Pitcaithly will declare the result of the referendum at the Royal Highland Centre outside Edinburgh.
However, running totals - which can be made from the first declaration onwards - may indicate a result earlier in the morning.
'Steady stream' Many councils have reported busy polling stations throughout Thursday, with some seeing queues both ahead of the polls opening and throughout the morning.
And more than 90% of postal ballots have been returned in several local authority areas, with total turnout put at 88.6% in Clackmannanshire and 84% in Orkney, the first two areas to announce how many people had voted.
_77681471_pa.jpg

_77681473_getty5.jpg

Large numbers of independence supporters have gathered in George Square, in the centre of Glasgow, ahead of the result.
Scottish First Minister Alex Salmond, who led the pro-independence "Yes" campaign, cast his ballot at Ritchie Hall in Strichen, Aberdeenshire.
Pro-Union Better Together leader Alistair Darling was greeted by a mixture of cheers and boos as he arrived at the Church Hill Theatre in Edinburgh to cast his vote.
 
Polls closed with rumours some areas have turnouts over 90%. One normally well-informed source suggested a few could have 100%. Wow!

 
_77662356_77662355.jpg

Andy Murray tweeted his support for independence on Thursday

Scotland Decides

Online abuse directed at tennis star Andy Murray after he declared support for Scottish independence has been described as "vile" by Police Scotland.
Murray tweeted on Thursday morning that "no campaign negativity" had "totally swayed" his view on the issue.
Some users of the site sent him hate messages, with one referring to the Dunblane massacre in 1996.
Murray was a pupil at Dunblane Primary school when gunman Thomas Hamilton shot 16 children and their teacher.
Murray's tweet, just hours before polls opened, read: "Huge day for Scotland today! no campaign negativity last few days totally swayed my view on it. excited to see the outcome. lets do this!"
The BBC did not report his comments while polls were open because of strict rules governing broadcasters during elections.

 
Latest result with 2 of 32 councils declared - Both councils voted NO
 
Scottish referendum: David Cameron and the Queen seek to ease tensions

Prime minister likely to promise to devolve greater powers, over taxation and welfare, to the Scottish parliament in early address.

David-Cameron-Referendum-011.jpg

David Cameron is expected to appear at Downing Street to outline constitutional reforms in the wake of the Scotland referendum result. Photograph: Murdo Macleod for the Guardian



David Cameron and the Queen were both planning to calm tensions after the heated two year Scottish referendum campaign when they make statements on Friday after the formal declaration of the result.
Amid increasing confidence early on Friday morning on the pro-UK side, the prime minister was expecting to make an early appearance in Downing Street to outline a major package of constitutional reforms.




 
First three (3 out of 32 Councils) of Scotland results go for No camp.
 
Hawa YES camp naona leo wataamka na majonzi makubwa mno, council ya nne nayo yakataa kujitenga na England.
 
NO camp 5 out of 5, 27 councils to go.
 
NO camp 5 out of 5, 27 councils to go.

Kamanda, once again shukran kwa updates.

Hivi, hawa mabwana hawawezi kuchakachua hii makitu...kibongobongo style?...:A S wink:

Afu naomba hii ishu isi-drag out more than 2 days maana hapo nd'o inaletaga michosho.

Pamoja.
 
lol!!!! nasikia YES camp washakataa tamaa kwani baadhi ya maeneo ambayo walitegemea ushindi wamepigwa chini, kwa hiyo dalili si njema kwao. Kuchakachua chaguzi za wenzetu ni ngumu sana lakini inawezekana si unakumbuka 2000 jinsi Al Gore alivyochakachuliwa kule Florida na Kichaka? Hii sidhani kama itachukua miaka miwili kwa matokeo yoyote yale. Tusubiri tuone Mkuu.

Kamanda, once again shukran kwa updates.

Hivi, hawa mabwana hawawezi kuchakachua hii makitu...kibongobongo style?...:A S wink:

Afu naomba hii ishu isi-drag out more than 2 days maana hapo nd'o inaletaga michosho.

Pamoja.
 
YES camp wamepata council moja, kwa hiyo NO camp bado wanaongoza kwa 6 councils kwa 1 ya NO camp.
 
Inabidi utuwekee na tallies za kura kamanda, maana mwisho wa siku sio umeshinda council ngapi bali una kura ngapi za jumla uo ndio ushindi wenyewe.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
"Yes" glumness

Posted at 03:50
A bit of a glum picture at the "Yes" party in Glasgow.

_77683021_photo.jpg
 
NO camp wamechukua council ya pili
 
Sawa Mkuu kuna baadhi tofauti ya kura ni ndogo sana kwa mfano, Inverclyde (87.4%) YES 27,243 NO 27,329 hapa lazima kura zihesabiwe tena na kuna uwezekano wa kuwa na mabadiliko.


Inabidi utuwekee na tallies za kura kamanda, maana mwisho wa siku sio umeshinda council ngapi bali una kura ngapi za jumla uo ndio ushindi wenyewe.
 
Back
Top Bottom