Scott Morrison ndiye Waziri Mkuu wa Australia 🇦🇺

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,438
1535080741212.jpeg

Matokeo ya uchaguzi yametoka na mshindi ni Scott Morrison, amemshinda mpinzani wake Peter Dutton ambae alikuwa waziri wa mambo ya ndani. Scott amepata 50% ya kura zote katika chama chake cha Liberal Party na mpinzani wake kupata 45%.

Scott alizaliwa 13 May, 1968 mjini Sydney na amesoma University of New Wales. Kabla ya kuwa mwanasiasa alifanya kazi katika Bodi ya Utalii.
 
View attachment 845455

Hizo ndio nchi za waliostaarabika,
Waziri mkuu akizingua,anapigwa chini,waziri aliyepita,kwanza alisusiwa na mawaziri wake,uchaguzi ikabidi uitishwe,
Huku kwetu ukikosana na bwana mkubwa,unaonyeshwa bastora,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom