Scott Adkins:Accident man

Scott Adkins:Accident man

CTX

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2015
Posts
1,273
Reaction score
986
Napenda movies Na miongoni mwa movies nazozisubiri mwakani ni Hii hapa Accident Man.

Jamaa hajawahi niangusha katika movie zake,najua Na Hii itakua Tamu tu

Inatoka 9 Feb 2018.

Tuombe uzima inshalaah, mungu atufikishe mwaka mwingine Salama.


387259accidentman02300345crop.jpg
 
Michael J White ..noma sana huyo mchizi ..
Scot mwenyewe alikaa...(undisputed 2)
 
Boyka ndio kali zile muvi hizi zingine kidogo amepoa poa hashereheshi vizuri
 
Kuna kitu legend of Hercules kainogesha kinoma kacheza kama katili
 
Michael J White ..noma sana huyo mchizi ..
Scot mwenyewe alikaa...(undisputed 2)
Ile movie imetamba sana. Boyka na wenzake wako vizuri mnooo! Naamiji Adkins kwenye hii mpya atatisha pia
 
Back
Top Bottom