Scotland yahahalisha rasmi ndoa za jinsia moja | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Scotland yahahalisha rasmi ndoa za jinsia moja

Discussion in 'International Forum' started by Kurunzi, Jul 26, 2012.

 1. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #1
  Jul 26, 2012
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,006
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Serikali ya Scotland imetangaza kwamba itaruhusu ndoa za watu wa jinsia moja. Hii inamaanisha kuwa Scotland inakuwa jimbo la kwanza la uingereza kutangaza sheria kama hiyo. Naibu waziri mkuu wa Scotland Bi Nicola Sturgeon amesema hatua hiyo ni ya maana sana na inastahili hasa kwa vile serikali yake inayoheshimu usawa wa kijinsia.

  Huenda Scotland ikajitokeza kuwa sehemu ya kwanza ya Uingereza kukubali ndoa za watu wa jinsia moja baada ya serikali ya SNP kutangaza mipango ya mabadiliko hayo. Mawaziri wamesema kua muswada huo utajadiliwa mapema ikiashiria kua sherehe za kwanza huenda zikafanyika mwanzoni mwa mwaka 2015.

  Viongozi wa kisiasa, mashirika yanayowania usawa na makundi ya imani yamefurahia hatua hio. Hata hivyo ndoa ya jinsia moja inapingwa vikali na kanisa katoliki pamoja na Kanisa la Scotland. Tangazo hilo lilifanywa kufuatia mashauriano ya serikali yaliyopokea
  majibu kutoka kwa watu 77,508.

  Sheria ya Scotaland kwa Wapendanao wa wanaoishi pamoja wanaweza kuingia wenzi lakini serikali imesisitiza kua hapana taasisi yoyote ya kidini inayolazimishwa kuendesha sherehe za kufunga ndoa. Serikali ya Scotland imesema kua itashirikiana na Mawaziri wengine Uingereza kuona kubadili sheria zinazowalinda watu mashuhuri wasichukuliwe hatua endapo watakataa kukemea au kukashifu ndoa za watu wa jinsia moja.

  Waziri kiongozi wa Scotland, Nicola Sturgeon, alisema kua bado tuna amini Scotland iliyo na usawa na ndio sababu tunaendelea na mipango ya kuendesha ndoa za watu wa jinsia moja -tuna amini uwamuzi huu ndiyo jambo sawa.
   
 2. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #2
  Jul 26, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Hii dunia inakoelekea sasa.....!
   
 3. M

  MLERAI JF-Expert Member

  #3
  Jul 26, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 673
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Nilipokuwa mdogo nilifikiri wazungu wana akili na wastaarabu sana ila nikugundua matendo yao hayafanani hata na ya mbwa.Mbwa anakula matapishi yake ila kalio la mwenzake hagusi.Mungu walinde watoto wetu waige mema toka kwao hilo walichukie.
   
 4. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #4
  Jul 26, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  We are mean compared to animals!!!!! Hainiingii akilini na siioni ikiniingia akilini be it now or later!!!!
   
 5. KABAVAKO

  KABAVAKO JF-Expert Member

  #5
  Jul 28, 2012
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 209
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Sodoma na Gomola hiyoo!
   
Loading...