Bongolander
JF-Expert Member
- Jul 10, 2007
- 5,067
- 2,227
The key statement is highlited above.
There are people whot think that there shouldn't be Syria or Iraq. Millions of them actually, trying to bring back some medieval caliphate. They are nothing but a bunch of loonies who need to be left alone. The problem is with the government that failed to unite us (Both governments), by failing to adhere to principles of Unity and pan- africanism.
Our brotherhood- unlike with other countries- is more than what some people would like it to be.
So what i'm trying to do here is counter-attack their deep-sitted prejudices by bringing facts and relying on commonly accepted philosophies of sane people and not mere fanatics trying to grab as much power as they can regardless of the means.
They are even trying to mobilize people to demonstrate in the streets, and are embarrassed by the mass day after day while blaming their failure on a police state (so-called).
now, back to this topic, ..... United Kingdom has shown no interest of becoming a federal government. You guys should know this.
Hoja namba 1: Kama ni taifa na wana autonomy wapi taifa la Tanganyika? Wao wamepoteza nguvu za kiuchumi kwa mujibu wako, sisi tumepoteza taifa kabisa.Nguruvi3
1)Mkuu you were all over with your last post habari za kodi yako kwenda Msumbiji kuna husiana vipi wakati wao wana full autonomy kama nchi, ZnZ wamepoteza part of that kwa sababu ya muungano ndio maana wanachangiwa na serikari kuu kujiendesha na kufanya shughuli za kiserekari on the other hand hawana mamlaka ya kutafuta hela za maendeleo independently ilihali na wao ni taifa.
2)Hakuna mtalii anaekuja Tanzania ni viongozi tu wa serikari ya muungano na wanakuja kufanya kazi zao za uwakilishi ama ni wafanyakazi wa serikari kuu ya Jamhuri ya watu wa Tanzania. Ndio maana ya kuungana ata huko washington awapokei watalii bali ni viongozi ambao wanalipwa na serikari kwa kazi za uwakilishi in short popote kwenye muungano kutakuwa na mji ambao bunge kuu lipo na washiriki ukutania hapo kujadili maswala ya taifa.
3)Alichokileta EMT sio kipya kabisa saa zingine habari zinaandikwa kwa sababu ya kutoa elimu tu, kwa sababu za kisiasa na agenda etc; lakini uhalisia wa mambo hupo kwenye katiba. Serikari ya Scotland ina devolution ya mambo zaidi ya 40 na wanapokea 'block grant' ambayo wanaweza amua jinsi ya kuitumia na kuendesha maisha yao katika devolved matter, kwa hivyo kama wana train za bure ni kutokana na maamuzi yao jinsi watavyo weza imudu, kama wanatumia zaidi kwenye huduma za afya ni kwa sababu ya maamuzi yao na kama wamekataa tuition fees ni kwa sababu hizo hizo kiuchumi ambazo wao ndio waamuzi kwa mujibu wa devolution. Kwa hivyo mambo ambayo yameshakuwa devolved kuyafanyia comparison ujue msukumo ni siasa tu lakini ukweli huko wazi.
4)Swali ambalo sijapata jibu walau umerudi na comment je ZnZ inauwezo wa kufanya maamuzi mengi ya kiuchumi kwa sasa either kutokana na grant inazopewa ama through devolved matters mpaka muwalaumu hivyo kama wapenda dezo? Ukiweza kutuelezea jinsi gani walivyo wazembe na hawana kamba yeyote waliofungwa labda unaweza kutu convince ki manitki vinginevyo kama nilivyosema ni watu wakujifurahisha tu na comment zenu lakini si uhalisia wa mambo.
Really? You do know very well what am talking about. Eti nifanye utafiti kabla ya kuandika! Je ni kitu gani nimedanganya? From you this is more than low, it is disingenuous but then what should I expect from a CCM sycophant!Really??
Hebu zungumzia Senate ....... What do you guys get out of this?
Kama ufahamu si mkubwa sana, tafiti kabla ya kuandika.
Sasa mkuu wangu fedha za kutoka nje ulitaka zidhaminiwe na nani? na Je ikiwa serikali 3 fedha hizi zitadhaminiwa na nani? sii ndio maana ya muungano ama kuna maana nyingneyo ambayo ulitaka wewe mikopo ya fedha za mendeleo kutoka nje zidhaminiwe na serikali ndogo!. Hiyo development budget ya bara ni kiasi gani cha fedha zake ni AID mbona hukuzungumzia hili? na bajeti yetu ni mara ngapi ya ile ya Zanzibar kwa ukubwa? Zanzibar imeacha kuchangia kutokana na kutokuwepo mfuko wa Muungano, mfuko ambao sio sehemu ya mapato juu ya maswala ya maendeleo umedhihirisha. Ni swala la Kimfumo lilopangwa na huwezi kusema zanzibar ndio mkosa wakati Tanganyika yenyewe haichangii mfuko huo maana haupo. Na hata kama ukiwekwa kesho na tukaunda serikali 3 Tanganyika itagharamia zaidi kuliko ilivyo sasa. Kiswahili gani tuzungumze...Facts:
1. Almost 90% ya fedha kutoka nje kwenda Zanzibar kwa ajili ya kusaidia bajeti zake zinadhaminiwa na Tanganyika, Tena bure Kabisa, nothing in return. Kwani hata huo utanzania ambao mtanganyika ameamua kushiriki ikijenga na kuachana na utanganyika tangia 1964, mzanzibari Wala Hana habari nao isipokuwa pale anapo hitaji faida za kiuchumi, ulinzi na usalama. Mzanzibari anaweka Mbele utaifa wa Zanzibar kwanza Kabla ya utaifa wa TANZANIA huku mtanganyika akiambiwa Kwamba kufanya hivyo kwake ni uhaini.
2. Zanzibar hajawahi kumpa faida Zozote mtanganyika kiuchumi kwa miaka 50. Mara baada ya muungano, iligundulika Kwamba Zanzibar Hana uwezo wa kuchangia gharama za muungano kwani Mapato yake yalikuwa ni excise duty za karafuu tu. Uamuzi ukawa - 75% ya Mapato ya Tanganyika yageuzwe kuwa ni ya muungano ili Zanzibar apate faida za kiuchumi, ulinzi na usalama. Kodi hizi ni zile kwa makampuni na Watu binafsi, ushuru wa forodha na ushuru wa bidhaa. Je unaweZa kutuambia mwaka 1964 Zanzibar alikuwa na vyanzo gani vya kodi?
Kwenye mijadala mingine tumejadili kwa kina:
1. Vyanzo vya Mapato ya muungano kwa Mujibu wa katiba ya JMT 1977. Hatukuona mzanzibari Anachangia vipi na kwa Mapato yepi kwa miaka 30 sasa.
2. Tulijadili jinsi gani Zanzibar iliacha kuchangia mwaka 1984.
3. Tumeainisha Mapato na matumizi ya serikali ya mapinduzi ya Zanzibar na hakuna sehemu tunaona Zanzibar wakichangia muungano au kulipa the 88% ya fedha za watanganyika kwa ajili ya kuendesha Mambo Yao yasiyo husu watanganyika.
4. Tumeainisha Mapato na matumizi ya Tanganyika ambayo yalitakiwa yawe nje ya muungano na yawe kwa ajili ya maslahi ya watanganyika tu Kama ilivyo kwa Zanzibar na Mapato yake nje ya muungano, lakini Kama tulivyojadili, Mapato ya mtanganyika ni ya mtanzania (mzanzibari akiwepo ndani) huku Mapato ya wazanzibari yakiwa ni kwa ajili ya wazanzibari tu, chini ya ZRB.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu hoja yako ya kukosekana mfuko ni dhaifu sana, iache. Tumeshakueleza mara nyingi sana kuhusu mfuko huo. Mfano, kama znz hawataki kulipa bili ya umeme, mfuko wa mabilioni wangelipaje?Sasa muu wangu fedha za kutoka nje ulitaka zidhaminiwe na nani? na Je ikiwa serikali 3 fedha nhhizi zitadhaminiwa na nani? sii ndio maana ya muungano ama kuna maana nyingneyo ambayo ulitaka wewe mikopo ya fedha za amendeleo kutoka nje zidhaminiwe na serikali ndogo. Hiyo development budget ya bara ni kiasi gani cha fedha zake ni AID mbona hukuzungumzia hili? na bajeti yetu ni mara ngapi ya ile ya Zanzibar kwa ukubwa? Zanzibar imeacha kuchangia kutokana na kutokuwepo mfuko wa Muungano, mfuko ambao sio sehemu ya mapato juu ya maswala ya maendeleo imedhihirika. Ni swala la Kimfumo lilopangwa na huwezi kusema zanzibar ndio mkosa wakati Tanganyika yenyewe haichangii mfuko huo maana haupo. Na hata kama ukiwekwa kesho na tukaunda serikali 3 Tanganyika itagharamia zaidi kuliko ilivyo sasa. Kiswahili gani tuzungumze...
Hata Marekani leo wana madeni ya matrillioni na haisemi nchi ngani ilosababisha madeni hayo bali chama gani na sera gani zimewafikisha hapo kisha ni serikali kuu inadhamini madeni hayo iweje utumie mfano huu wakati hata kwenye S3 ingelikuwa hivyo hivyo. Mkuu hata sikuelewi kabisa, yaani mnachoandika ni vichekesho vitupu. Mlisema toka zamani kwamba Zanzibar ina fiscal auotonomy wakati Tanganyika haina, sawa - nikawauliza je Zanzibar ina fiscal auotonomy katika mambo gani? yaorodhesheni ili tuone kama Tanganyika ndani ya serikali ya Muungano haina mamlaka hayo, mkaingia mitini kimyaaa...maana kipimo halisi sio maneno matupu bali ni mamlaka yenyewe yapo ama hayapo sio hadith za Alinacha.
Mkuu ebu nifahamishe Zanzibar wakilipa bill ya Umeme wanamlipa nani? Ebu nipe darasa kuhusu account hiyo ni mfuko wa pamoja! wewe unaelewa vipi kuhusu neno hili maana huko nyuma kwenye mada ya Zitto nimewaeleza wazi jinsi gani inakuwa mkaingia mitini hamkurudi tena, sasa mnakuja na hizi habari za kulipia Umeme utalipia umeme shirika la Tanganyika ili iweje? huo ndio mfuko wa pamoja?.Mkuu hoja yako ya kukosekana mfuko ni dhaifu sana, iache. Tumeshakueleza mara nyingi sana kuhusu mfuko huo. Mfano, kama znz hawataki kulipa bili ya umeme, mfuko wa mabilioni wangelipaje?
Pili, lazima uulize pia, bajeti ya ulinzi na usalama, mambo ya ndani na nje ipo wapi katika bajeti ya znz.
Tatu, jiulize, kama Tanganyika haichangii, watalii wanpata wapi bilioni 126 za kuja kustarehe na wake zao Dodoma?
Wale wanafunzi 1,700 wanalipiwa na kitu gani ikiwa hakuna mfuko.
Znz inapata 4.5 kutoka eneo gani.
Kumbuka, 4.5% ni ya pato la Tanganyika. Hivyo znz wanaweza kulala kutwa nzima wakiomba jambo moja tu litokee, TRA Tanganyika ikusanye zaidi.
Mkandara, huo mfuko wangechangia nini ikiwa hawakuweza kulipa bilioni 11 za umeme wa Tanga pemba hadi walipkuja hazima kwa mjomba kuomba?
Ni hivi mkuu znz ni haina umuhimu katika uchumi wa Tanganyika, hatuna sababu hata za kusema tumeungana. Tumewabeba na kuwapakata sasa tumechoka.
Umemalizia utamu sana. Thank you SirEconomic realities of the UK are not same as ours. But the question here is not whether UK goes Federal or remains unitary, the question is fair allocation of resources, and letting four peoples of the UK decided their internal affairs. Whether that can be achieved through federalism, Unitarianism or devolution, well and good.
If Tanzania goes federal with same arrangements as we have now, the root cause of current grievances will still be there. Kwa hiyo mamalalamiko yataeldelea kuwepo. Serikali mbili "zilizoboreshwa" under same arrangements will still be square one.
The only viable solution here is for Mainland to have equal status of statehood with that of Zanzibar and manage her own affairs and monies, without footing the bill of keeping the expensive union alive. And Zanzibar should also enjoy more autonomy so as she can be useful member of the union.
Naam, Mtanganyika akihoji anaambiwa ana chuki. Kwamba upendo ni pale Mtanganyika atakapokaa kimya akigumia maumivu. Akisema tu, hilo ni chuki.Zanzibar wana Mapato Yao as a "state" (ZRB), na bado wana Mapato Yao kutoka Tanganyika iliyovaa koti la muungano as if Zanzibar Ndio federal government! Zanzibar wana matumizi, lakini kwenye uchangiaji, hawamo; sasa hoja za kujifurahisha ni zetu au za kwako?
Nimalizie na mfano mwingine wa Huko Huko kwako USA kuonyesha jinsi gani Zanzibar wananyonya watanganyika. Muungano wao wa shirikisho una sales tax ambazo federal government haichukui hata senti moja. Sehemu kubwa ya sales tax huwa ni pamoja na VAT. Sales tax kwa marekani hubakia kwa states husika. Kwetu Tanzanka Hali ipoje?
Sales tax (VAT) Hapa kwetu (kwa bidhaa za ndani na nje) kwa mwaka huu wa fedha zilikuwa karibia shillingi trilioni Tatu. Hizi ni fedha nyingi sana kwa maana ya Kwamba ni kiasi ambacho kinaweza kugharamia serikali ya muungano wa shirikisho na chenji ikabakia.
Na hata sasa kwa Mfumo ovyo wa serikali Mbili, ufujaji ukidhibitiwa, zinatosha kuendesha muungano. Muhimu zaidi ni
Kwamba serikali imekuja na Sheria mpya ya vat ambayo inalenga kufuta misamaha ya kodi hizi ili kuongeza kipato, Which means in ni time, vat itakuwa largest contributor wa kodi za nchi. Kwa sasa ni corporate and personal income taxes.
Kwa wenzetu USA tumeona Kwamba federal government haigusi kodi hii, inaachia subnational governments za states husika.
Kwetu, over 90% ya VAT inakusanywa Tanzania bara, lakini kodi hii inawekwa kwenye kikapu cha muungano kwa sababu Tanganyika haina serikali yake, haina mamlaka yake ya kukusanya kodi Kama ZRA kwa Zanzibar
je hii ni Haki kwa watanganyika? Kwanini mwanangu akinunua lambalamba VAT yangu iende Zanzibar?
This is outrageous kwani kwenye katiba ya sasa, VAT ni Mapato ya Tanzanka bara, sio ya muungano.
Mapato yote ya Zanzibar ambayo sio ya kimuungano yanabakia Zanzibar. Vyanzo vya muungano ambavyo vinatakiwa vichangiwe na pande zote Mbili za muungano, Tanganyika aliamua kufanya 75% ya Mapato yake ya kodi yawe ni kwa ajili ya ujenzi wa utanzania na kufuta utanganyika, akitegemea Zanzibar nae atafuta uzanzibari.
Leo, Zanzibar hachangii muungano kwa miaka 30 sasa, na Ana utaifa wake wa Zanzibar ambao ni muhimu kuliko utaifa wa Tanzania unless ni kwa ajili ya faida za kiuchumi, ulinzi na usalama.
Mtanganyika akihoji kwanini amekuwa betrayed? Anaitwa mhaini. Mzanzibari akitetea utaifa wake ndani ya utaifa wa Tanzania na kufikia hatua ya kuwatusi watanganyika, na hata kumdharau rais wa JMT kwa kuvunja katiba aliyoapa kuilinda, mzanzibari anaonekana Kwamba anachopigania ni Haki yake. Ndio maana nauliza - Kati yetu na wewe, Nani anajenga hoja za kujifurahisha?
Mkuu , samahani kama nitakutia machungu zaidi.Pamoja na ujinga huu katika kuendesha taifa, bado rasimu ya Katiba ya CCM inayosimamiwa na mafisadi Sitta na pacha wake Chenge, wanataka Zanzibar wawe na maraisi wanne, kila Wazanzibari chini ya laki nne (400,000) watoe Raisi! Kulingana na mapendekezo yao hii idadi inajumuisha Raisi wa Zanzibar, Makamo wa Raisi wa Jamhuri kutoka Zanzibar, Makamo wa kwanza wa Raisi Zanzibar, Makamo wa pili wa Raisi Zanzibar! Huu uenda wazimu wote ni katika kuhakikisha kwamba hakuna mtu wa kuwajibika/kuwajibishwa ndani ya Tanganyika kwa mwamvuli wa Muungano, why? Eti nia ni kuulinda Muungano huu feki. Imefikia hatua hata nafasi za kazi ndani ya Muungano Wazanzibari (asilimia 5% ya Watanzania) wapewe haki ya kuhodhi nafasi za ajira kwa asilimia 21%! Bila kuchangia hata senti kwenye bajeti ya Muungano? If this is not madness, then the word madness does not exist.
Sasa mkuu wangu fedha za kutoka nje ulitaka zidhaminiwe na nani? na Je ikiwa serikali 3 fedha hizi zitadhaminiwa na nani? sii ndio maana ya muungano ama kuna maana nyingneyo ambayo ulitaka wewe mikopo ya fedha za mendeleo kutoka nje zidhaminiwe na serikali ndogo!.
.Hiyo development budget ya bara ni kiasi gani cha fedha zake ni AID mbona hukuzungumzia hili?
Bajeti ya Zanzibar (shillingi trilioni 700 na ushee) ni 35% ya bajeti ya muungano which stands at 19.8 trillion shillings. Bajeti ya Zanzibar Ipo Katika muktadha wa fiscal autonomy, Ina Mapato ambayo hayamhusu mtanganyika. Badala ya kuwa wabunifu Kama Tanganyika kupunguza aid dependence, ubunifu wao ambao na wewe unawatetea ni more aid dependence kwa Zanzibar. Nimeuliza, nchi gani duniani imefanikiwa kupitia foreign aid?na bajeti yetu ni mara ngapi ya ile ya Zanzibar kwa ukubwa?
Hakuna anayesema Zanzibar Ina Makosa, ebu tuonyeshe wapi Mimi Najenga hoja hiyo. Naomba niseme pia hili:Zanzibar imeacha kuchangia kutokana na kutokuwepo mfuko wa Muungano, mfuko ambao sio sehemu ya mapato juu ya maswala ya maendeleo umedhihirisha. Ni swala la Kimfumo lilopangwa na huwezi kusema zanzibar ndio mkosa wakati Tanganyika yenyewe haichangii mfuko huo maana haupo.
Na hata kama ukiwekwa kesho na tukaunda serikali 3 Tanganyika itagharamia zaidi kuliko ilivyo sasa. Kiswahili gani tuzungumze...
Naona unachagua hoja zangu zipo ujadili, Zipi ukwepe. Nimejadili awali Kwamba regardless of udogo wa states marekani, kila Raia nchini marekani Anachangia kwenye muungano in one way or another kupitia Mfumo wa kodi uliopo USA. Nilitaka hata aina ya kodi husika.Hata Marekani leo wana madeni ya matrillioni na haisemi nchi ngani ilosababisha madeni hayo bali chama gani na sera gani zimewafikisha hapo kisha ni serikali kuu inadhamini madeni hayo iweje utumie mfano huu wakati hata kwenye S3 ingelikuwa hivyo hivyo.
Hoja yoyote ya muungano kiuchumi lazima iwachekeshe wenye hoja za muungano kisiasa. Hii ni kwa sababu mtazamo wenu ni Kwamba uchumi unatakiwa kutumikia siasa.Mkuu hata sikuelewi kabisa, yaani mnachoandika ni vichekesho vitupu.
Mlisema toka zamani kwamba Zanzibar ina fiscal auotonomy wakati Tanganyika haina, sawa - nikawauliza je Zanzibar ina fiscal auotonomy katika mambo gani? yaorodhesheni ili tuone kama Tanganyika ndani ya serikali ya Muungano haina mamlaka hayo, mkaingia mitini
kimyaaa...maana kipimo halisi sio maneno matupu bali ni mamlaka yenyewe yapo ama hayapo sio hadith za Alinacha.
Mkuu hata Bongolander mwenyewe hailewi mahesabu inahitajika mhasibu hata kuwapa darasa zuri zaidi kwa sababu nyie Mnachukulia 10 -1= 9 yaani 10 za Muungano ukitoa 1 za Zanzibar zinazobakia ni za Tanganyika! lakini inavyoonyesha hizi ni za Muungano.. Huu ndio mtazamo wenu lakini ukweli ni kwamba 10 - 1, hiyo moja ni kwa matumizi ya maswala mabyo Zanzibar ina mamalaka nayo ambayo ni kidogo sana hivyo mambo mengi makubwa bado yapo kwenye Muungano na yanashughulikiwa na serikali hiyo. Hivyo nasi huku ktk hiyo 9 tutatoa yetu sawa na 1 ya Zanzibar kwa matumizi yetu kisha zile zilizobakia ndio kwa ajili ya kuendesha serikali ya Muungano.
Ukilitazama swala hili ki juu juu hutaelewa kamwe, hivyo ni muhimu sana kwa mwenye kuonyesha matumizi lazima atuonyeshe kwanza hesabu ya bara ktk mambo ambayo tuna mamlaka nayo tumetumia ngapi na zilizobakia zimegawanywa vipi. Kwa hiyo 4.5 kutoka 100 sio swala la kusema tumeubeba mzigo, wakati uwekezaji wa fedha asilimia 95.5 ni ktk matumbo ya watu.
Maine na California zinawakilishwa na Senators wawili kwa kila state.Really? You do know very well what am talking about. Eti nifanye utafiti kabla ya kuandika! Je ni kitu gani nimedanganya? From you this is more than low, it is disingenuous but then what should I expect from a CCM sycophant!
Copy and paste au weka link.... ili tujue source ni ipi na tuwe na easy accessibilty.Kobello,
#60 .
Mimi nimejadili contribution ya mikoa husika in terms of Gross Domestic Product, na source ni kwenye moja ya Nyaraka za Tanzania bureau of statistics. Mimi nimetumia pato la taifa, wewe unatumia Mapato ya kodi. Je unajua kuna utofauti? Kuhusu Mapato ya kodi, hakuna mjadala Kwamba dar Es salaam alone collects almost 2/3 ya kodi karibia zote, na nilionyesha Hilo. Hii ni kwa sababu, resources au production inaweza kuwa mwanza lakini kodi zinakuwa recorded Dar-Es-salaam. Hii inatokana na centralization of our tax system, chini ya mfumo wow serikali Mbili, na Ndio maana hata mamlaka za serikali za Mitaa zinakusanya only 10% ya matumizi yake, the rest gets to them as transfers. Ndio maana kutumia kigezo cha GDP contribution kinatupatia the other side of the story kujua what is really happening in mtwara na kwingineko.
Mimi pia naendelea na analysis ya kodi Katika muktadha wa gharama za muungano kisha nitarudi na mrejesho.
Ila kaa ukijua pia Kwamba kila ninapojadili bajeti za muungano na za Zanzibar, maana yake ni Mapato ya kodi TRA, ZRA...
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu Mkandara nakubaliana na wewe kuwa tunatakiwa tuwe na takwimu halisi za uchumi, ziwe wazi ili uelewe.
Lakini kabla ya kupata takiwmu kuna kitu kunaitwa equity na equality. Mchango wa wa Zanzibar kwenye muungano unafuata msingi wa Equity, yaani kubeba mzigo kutokana na uwezo wake. Bahati mbaya hata hilo haifanyi.
Lakini kwemnye kunufaika wanakuwa wa kwanza kusema wanataka equality, yaani nusu nusu. Wanataka idadi ya mabalozi wa Tanzania katika nchi za nje iwe sawa kwa wabara na wavisiwani, bila hata kujali proportion ya idadi ya watu au hata bila kujali mchango wao kwenye MoFA.....huwa nacheka sana nikisikia wanasema, nafasi za udhamini elimu ya juu (nusu kwa nusu) mabalozi wetu nje nusu kwa nusu(equality), lakini kwenye kuchangia gharama za kuendesha wizara hizo hata siku moja hawasemi nusu kwa nusu (wanataka equity).
Mkuu Mkandara litakuwa ni jambo la maana kama tukipata takwimu na kuziweka hapa uangalie wazi ndio utajua kuwa, ni vizuri ikiwepo Zanzibar na ikiwepo Tanganyika. Otherwise Zanizbar ife kama ilivyokufa Tanganyika.