Scotland Independence

Safari hii CCM ukikataa kuachia kiti cha Uraisi Zanzibar Referendum iko wazi
Hatuwezi kukaa tunawatesa ndugu zetu wa visiwani miaka nenda miaka rurudi
 
Sasa kama Zanzibar ndio itakayopoteza weye na wenyewe wakiwa wapo tayari na hilo wewe kinachokusumbua nini?

Umeona eeh, hawa ni wale ambao wakidaiwa talaka na wake zao utasikia utapata shida sana wewe ukiondoka, ihali anamnyanyapaa mke wake katika ndoa.


Wacha tupate shida kama tutawaomba, kwa sasa hatufaidiki na muungano, kila kitokacho Zanzibar kinalipiwa kodi tanganyika, ni nani atakae pata shida ?

Hata hao samaki wanao uzwa Dar kutoka Zanzibar ni faida kwenu kwani wazanzibari ndio wavuvi na wakulima wa vitunguu, ni nani anae faidika kama si mtumiaji?
 

Ndipo munapoambiwa muweke Serekali tatu kumaliza hayo matatizo munakataa
 
Tanzania itabaki kuwa moja

Kama mnamependa sana sultan mfuateni Oman

Zanzibar sio Nchi ya machotara hizbu
Safari hii CCM ukikataa kuachia kiti cha Uraisi Zanzibar Referendum iko wazi
Haruwezi kukaa tunawatesa ndugu zetu wa visiwani miaka nenda miaka rurudi
 
CCM Ipo ukingoni mwa safari yake, Karibuni itazikwa
 
Kwani wakiachiwa hio Zanzibar yao kuna shida gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…