Scotland Independence


Kwani ni uongo? Tanganyika inainyonya Zanzibar
 
Nyie mtakufa njaaa na kuuana kwa ubaguzii

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kwani wakati tanganyika inapata uhuru mipaka yake haijulikani? Kwani Tanganyika na zanzibar zilipata uhuru siku moja?
 
Kuna mtu aliwahi kuniambia ukanda wa pwani wote ni Zanziba

Kwa hapa Der mpaka wa Zanzibar na Tanganyika upo kimara maana yake ni kwamba 90% ya jiji la Dar ni eneo la Zanzibar



Sent using Jamii Forums mobile app
Acha story za vijiweni,hiyo unayozungumzia ni mipaka ya utawala wa Sultani kabla ya kusaini mkataba wa pili na wajerumani na waingereza ambapo alipokonywa maeneo yote ya pwani,yaani siku tukitengana kila taifa itabaki ndani ya mipaka ya 1964 ambapo bahari ndiyo inayotutenganisha tukitumia hoja yako basi Rwanda na Burundi wanarudi Tz mlima Kilimanjaro unarudi kenya ,Mombasa inakuwa Zanzibar,Z Nyasa linarudi Malawi Z Bukoba inarudi Ug yaan Afrika itavurugika kiufupi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani wakati tanganyika inapata uhuru mipaka yake haijulikani? Kwani Tanganyika na zanzibar zilipata uhuru siku moja?
Shida nn? Mi naomba kama una hiyo ramani niwekee kama huna piga kimya siyo lazima kila post ui-quote!
 
Zanzibar wajitoe tu manake walalamishi sana wakati kwenye ajira za wizara za muungano wanapewa nafasi wakati huo huo wazanzibari wengine wanaomba kupitia bara na wanapata. Unakuta kama ajira mia 500 wanzibari ni 80 jambo ambalo sio fare kwani idadi yao ni 0.5% ya watanzania wote. Wakati huo ajira wanapata zaidi ya 1%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes Wajerumani walinunua hiyo 10 miles costal stripe toka kwa Waingereza kwa kubadilishana na kisiwa cha Hellingoland. Jina jingine la hiyo treat inaitwa Hellingoland Treaty.
P


Mmenuacha sijaelewa vema hebu saidia mimi elewa vema Ndugu
 
Zanzibar ni tofauti na scotland.Zanzibar wanadai uhuru shughuli zao zote na makazi ya wadai uhuru yakiwa tanzania bara!!!!!

soko la samaki wanategemea ferry la tanzania bara

Hayo ni masuala ya kibiashara hayana mahusiano kabisa na masuala ya utawala.
 
Tutawaachia visiwa vyenu viwili tu, cha Pemba na Unguja! Hayo maeneo mengine sijui yaliyotolewa na Muingereza kwa Sultan! Yatabakia daima kuwa ni ndoto ya asubuhi. Haitokuja itokee tukawapa kirahisi tu!

Hayo ni masuala ya mahaka za kimataifa na U.N hamuna nguvu nayo kabisa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…