BLACK MARXIST
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 2,462
- 5,366
Mida ya kufa hii.Malaika mlinzi awe nanyi.. Watu wengi hufa mida hii... Hivi tunavyoongea hapa kuna watu saa hii wanakufa.....
Mida ya kufa hii.Malaika mlinzi awe nanyi.. Watu wengi hufa mida hii... Hivi tunavyoongea hapa kuna watu saa hii wanakufa.....
Ohoo kwa hiyo 8 mpaka 9 ndio mida yenyewe?Ishapita muda si mrefu saa hii ni saa kumi kamili... Alfajiri ndio imeanza
nazungumzia tabia ishakuwa mazoea mbona jambo la kawaida kama kuvuta atention ya mtuFrom nowhere? With a stranger? Totally unknown to you?![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mngh!Naipataje hiyo dawa?
Nataka nijifanyie majaribio.
Umeniwahi, wacha nifanye mpango nimpulizieHii dawa wangempulizia Dkt Magu ingekua poa sana
Umeniwahi, wacha nifanye mpango nimpulizie

Uwe mwanae wa pili baada ya bashite
Kuna wakati waliyatumia sana mabus ya Abood na BM haya ya route ya Dar MoroNa hawa matapeli huwa wana tabia ya kujifanya kuuliza njia ,au sehemu fulani kama kiwanda au hospital au kujifanya wamesoma na wewe,,,,ukiingia kingi wamekumaliza.Wamewaibia watu wengi sana hasa wanafunzi wa vyuo vikuu na wapita njia hasa kwenye mkusanyiko wa watu kama bus stand au sokoni