jem the great
Member
- May 25, 2013
- 44
- 11
Ckutegemea saana kama Brazil wangeleta upnzan saana kwenye hii michuano..wamebadilika na wanajtahd kwa kwel ingwa bado kuna makosa madogo ya kurkebsha...
jem the great, wamebadilika kwa sababu wanaleta upinzani?Ckutegemea saana kama Brazil wangeleta upnzan saana kwenye hii michuano..wamebadilika na wanajtahd kwa kwel ingwa bado kuna makosa madogo ya kurkebsha...
Wana striking force nzuri sana ila defence haiko vizuri sana,coz hata ushindi wao confederetion cup ni 4-3,4-2 etc,inamaana defence yao inaruhusu magoli sana,lakini scolari atayafanyia kazi before WC starts.
ngoja wakutane na wenye hati miliki ya makombe SPAINNNNNN
acha ujinga wewe, Spain ana makombe gani zaidi ya tukombe tuwili tu twa ulaya na kamoja ka dunia?ngoja wakutane na wenye hati miliki ya makombe SPAINNNNNN
ongeeni yote ila kwa sasa Spain ndio bora duniani miaka 8 mfululizo namba 1 ktk soka duniani,na ana 3 ulaya,sio 2 ina maana wewe kutokana na uliyoandika Spain umeanza kuwajua zaidi 2010,zamani sawa ilikuwa inaundwa na wachezaji wa timu ndogo eg mallorca,bilbao na celta vigo,enzi hizo barca waholanzi real madrid umoja wa mataifa tofauti na sasa ni9 barca na real madrid wachezaji wengi wanaunda Spainacha ujinga wewe, Spain ana makombe gani zaidi ya tukombe tuwili tu twa ulaya na kamoja ka dunia?
https://en.wikipedia.org/wiki/Brazil_national_football_team