SCOAN TANZANIA (Prophet TB Joshua)

dollar 50 ni pesa ndogo kwa kutamka lakini kwa shilingi yetu ni shs 100000/ kwa usawa huu wa magufuli ni nyingi san
 
Enyi makondoo mtatapeliwa hata lini? hata muda huu bado hamna akili?
 
Nakubaliana na wewe lakini usiseme ofisi zipo wazi kulingana na wateja,Sema kulingana na maitaji ya huduma itakaa vizuri zaidi kiimani
hiyo ni biashara mkuu.
 
Annointing water tena nowadays? Mmmhhhhh.


Nina mashaka makubwa sana Juu ya mtajwa kuwa nabii.

Nenda ukajchukulie Maji ya Baraka bureee kanisa lolote la Catholic.

Hakunaga Maji ya upako(anointing water) huwez paka Maji,Maji tunakunywa na kuoga,kuna waliooga Maji yaliyobarkiwa na kuponywa maradhi ya ngozi ila Yale Maji mbali ya kabarikiwa yalitiwa chumvi.


Unapaka Mafuta. Sasa wapo wapakwa Mafuta Wa Bwana. Kama Samuel alivompaka Daudi. Ni kupakwa physically so hii mipako ya wireless.
 
Toa kwanza boriti........... Una sema nini kuhusu buying of indigences?
 
Toa kwanza boriti........... Una sema nini kuhusu buying of indigences?
Mkuu ni kweli yalifanyka makosa na yapo pengine yanayoendelea kufanyika ila hilo la indulgences za kulipia lilifutwa mwaka 1567. Soma mtaguso wa trent
 
Mkuu ni kweli yalifanyka makosa na yapo pengine yanayoendelea kufanyika ila hilo la indulgences za kulipia lilifutwa mwaka 1567. Soma mtaguso wa trent
Ni pamoja na kununua misa kwa ajili ya marehemu, just in case you didn't know. Anyway, imani ni kwa mtu binafsi
 
Ni pamoja na kununua misa kwa ajili ya marehemu, just in case you didn't know. Anyway, imani ni kwa mtu binafsi
Huwez nunua misa mkuu. Ww uljarbu kununua wakakuambia ni sh ngap?

Nadhan unachosema ni zile nia znazoambatanishwa katka sadaka ya misa takatifu.
 
usipotajirika tena basi;
usisahau kulipa kodi ya JPM.
 
Onyesha katika Biblia hayo uliyoyaorodhesha kuwa yalifanyika gharama zake ilikuwa kiasi gani? Kwanini mnapenda kupotosha maandiko kwa maslahi ya kimwili? Mungu anawaona!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…