Scientist now 99.99 sure Higgs particle has been found

Mhh hapa sasa sijui itakuwaje? Au ndo mungu atarudi

sijui! Ila nina hakika wa hili
Teacher:A region of space which we experince gravitional force is called?
Class: gravitational field
Teacher: a region of space we experience an electric force?
Class: electric field
Teacher;a region of space in which particles acquire/experience mass?
bright student: Higgs field!
 
mdau tuelewesha vizuri.. Ndio kitu gani?

Hii kitu ni nzito,ila kwa ufupi kwa mujibu wa fizikia(standard model) kila kitu kilichopo ulimwenguni madini,maji, nyota,jua,sayari,wanyama,binadamu, kimetokana na chembe chembe(fundamental particles) ndogo ndogo aina mbili. Fermions na bosons. Kwa ujumla zipo fermions aina 12 na bosons aina4,Higgs ikiwa boson ya tano. Hadi majuzi wana fizikia kutokana na tafiti zao walishavumbua/hakiki chembe zote isipokuwa Higgs. Vifijo na nderemo zote za juzi ni kupatina mpotevu Higgs. Will someone improve on this?
 
chembe chembe(fundamental particles) ndogo ndogo aina mbili. Fermions na bosons. Kwa ujumla zipo fermions aina 12 na bosons aina4,Higgs ikiwa boson ya tano.
not making any sense, "Kuna bosons aina 4, higgs ikiwa boson ya tano" ndio nini hicho?
 
Back
Top Bottom