Scientific fact na knowledge Thread

Bananas are radioactive:-
Thanks to their high potassium levels, bananas are slightly radioactive.

However, you would need to eat 10 million bananas at once to receive a lethal dose of radiation, according to McGill University’s Office for Science and Society
 
‎X ray machine ya kwanza kwa ajili ya Airport ilikuwa ni model ya kampuni moja ya boston iliyoitwa American science and engenering walitengeneza X ray detector kwa ajili ya kuweka kwenye satelite ku observe universe kwenye X ray
 
Pombe na bangi ukitumia kwa wingi vinaenda kuzuia sehemu ya ubongo inayohusika na ndoto hivyo ukitumia huwezi kuota mpaka masaa kama sita figo ichuje na kuondoa pombe mwilini kisha baada ya hapo sehemu ya rem sleep inafunguka na ukisha lala ubongo unafidishia yale masaa na ndio maana walevi mara nyingi huota ndoto za ajabu.

‎Na ukitumia kwa muda mrefu ukiwa unalewa sana kwa miaka mingi unasababisha ubongo usiingie kwenye rem sleep kwa muda mrefu hivyo kuna kipindi ubongo utaanza kutoa ndoto ukiwa upo macho (collision of two state of consciounes) Ambayo inaitwa Delirium , hapo ndio utaanza kuona mambo ya ajabu sababu ndoto inakuja ukiwa macho
 
Kwenye Pollinatio kati ya nyuki na maua sio tu kitendo cha ubadilishaji wa pollen na nectar bali kuna kitu cha ajabu maua yanafanya ili kufanya nyuki aende kwenye ua hilo na kuacha pollen ni kama vile chemical manipulation, baadhi ya maua yanatengeneza harufi ya sex horomes za nyuki hivyo nyuki huenda pale kwa sababu hiyo na mengine hutengeneza kitu kama dozi ya madawa ya kulevya kama opium,caffein, nicotine ili kufanya nyuki aliyetua hapo kuwa addicted na kurudi hapo mara nyingi hata kama hakuna chakula chochote kwenye ua hilo, ni kama vile maua yanashindana kupata pollen
 
The beauty of God's creation
 
‎Kuna ndege anayeweza kulala,kula na kunywa maji akiwa anapaa angani, swift [ mbayuwayu] ni ndege anayewa kukaa mpaka miezi kumi angani na hushuka ili kuzaa/kujamiiana au kutengeneza kiota, swali je anawezaje kulala angani bila kudondoka, wanasayansi wamegundua kuwa anatumia kitu kinaitwa hemispheric sleep kumanisha upande mmoja wa ubongo unalala na mwingine unakuwa macho kwa ajili ya kupaa na kuwa alert kwa ajili ya tukio lolote litalotokea akiwa angani, akiwa kwenye usingizi huruka juu sana ambapo hewa imetulia
 
Kuna fangasi anaishi kwa mchwa ambaye sio tu anawau mchwa bali anachukua control ya kichwa chake anaitwa Ophiocordyceps unilateralis na akishaingia kwenye mwili wa mchwa basi ndio mwisho wa safari kwa mchwa huyo ila mwanzoni mchwa huyo atakuwa sawa anafanya kazi,anatembea anakula vizuri ila ndani yake fangus anasambaa kila sehemu kisha kila kitu kina badilika na mchwa anaondoka kwenye colony yake bila sababu yoyote kisha ananza kupanda miti juu zaidi na kwenda sehemu ambayo huwa haendi anakuwa hajitambui bali ana controliwa na fangasi huyo kisha anafika sehemu na kukita meno yake kwa nguvu ampake kwenye ile mishipa ya majani kiasi ambacho hawezi kutoka tena na baada ya muda anakufa kisha juu ya mgongo wake baada ya kufa fangasi inakuwa na kuwa mrefu mpaka unapasuka kisha unatoa unga unga kwenye hewa na kuathiri mchwa wengine na mzunguko unaanza tena
 
Tunaishi ndani ya black hole, na hio black ipo siku itaacha kupanuka na matokeo yake ni kuanza kupungua na kujibana kiasi kwamba kila kitu kitapotea na itabaki bubble ndogo zaidi, ambayo haiwezi pungua zaidi. Na hio bubble italipuka upya na kuwa tena black hole.
 
Ushahidi wa kisayansi unasema kuwa kabla ya uwepo wa ulimwengu na vyote vilivyomo, yaani hakukuwa na kitu. Kiufupi ni emptiness kabisaa.
 
Bado najiuliliza ukitoa space je bing bang ilianzia wapi?
hapo mwanzo kabla ya ulimwengu kuanza kulikuwa na space?
Ndio space ilikuwepo na ndio maana big bang ilitokea. Big bang ilitokea baada ya particle ndogo zaidi kulipuka na kusambaa ikitoa gesi tofauti tofauti.
 
Huko kuexpand ni kwa sababu ya space iliopo ambayo ndio hio emptiness.
Ila pia kuexpand kunawezekana ni kwasababu tuko ndani ya black hole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…