Hii ni label nyingine ya akili tu. Ukisema,Mhh that is even more better kuliko kusema experience?
Mi bora nikasema kuwa that which I don't know is nothing, or singular from an energetic pov kuliko unambie eti kinacho baki ni experience.
Huyo experiencer pamoja na experience yenyewe zimeisha dissolve
Hivi mfano ni najua fika kuwa mimi nina mwili wenyewe mkusanyiko wa energy..Hii ni label nyingine ya akili tu. Ukisema,
nothing.
singular.
energetic point.
Bado unatumia dhana (concepts) kuelezea kile unachosema kimevuka dhana. Hapo tayari kimeingia kwenye mfumo wa kufikiri.
Ni kweli mwili unaweza kuelezewa kisayansi kama energy, lakini hiyo ni description tu, si mimi.Hivi mfano ni najua fika kuwa mimi nina mwili wenyewe mkusanyiko wa energy..
Alafu nikasema mimi ni energy. Hapo ita negate the fact ya kuwa mwili wangu una exist?
Sawa ni wazo lakini physical existence yake ipo..
Je Ukifa hiyo awareness si hautaijua?Ni kweli mwili unaweza kuelezewa kisayansi kama energy, lakini hiyo ni description tu, si mimi.
Energy haiwezi kujijua yenyewe. swali si mwili umetengenezwa na nini, bali nani anajua mwili na energy hizo zote zipo?
Kuna guru mmoja wa huko oregon 🇺🇸 aliwahi kusema, "wewe si mwili wala energy ,hayo yote ni vitu vinavyoonekana ndani ya consciousness.
Wewe ni ushuhudiaji (awareness) wenyewe, si kitu kinachoweza kupunguzwa kuwa physics au dhana yoyote.
Hili swali lina pande mbili kisayansi na kiutambuzi, sijajua unataka niguse wapiJe Ukifa hiyo awareness si hautaijua?
Au mfano ubongo umepata hitilafu, na ukashindwa kudetect awareness wewe haupo?
Twende kisayansi maana, utambuzi ni psychology na itakuwa na mapungufuHili swali lina pande mbili kisayansi na kiutambuzi, sijajua unataka niguse wapi
Sayansi pia inamapungufu na haijakamilika na bado inafanya tafiti, ishh za meditation pia sayansi walikaa chini nakuzichunguza ndipo wakathibisha ufanyaji kazi wake ila kabla hata ya sayansi na dini watu walifanya meditation je walijulia wap ? Huo ndio utambuzi wa hali ya juu, sayansi yenyewe inategemea utambuziTwende kisayansi maana, utambuzi ni psychology na itakuwa na mapungufu
OK go on.. With meditation aspectSayansi pia inamapungufu na haijakamilika na bado inafanya tafiti, ishh za meditation pia sayansi walikaa chini nakuzichunguza ndipo wakathibisha ufanyaji kazi wake ila kabla hata ya sayansi na dini watu walifanya meditation je walijulia wap ? Huo ndio utambuzi wa hali ya juu, sayansi yenyewe inategemea utambuzi
Tungejadiliana ingekua poa zaidi kuliko kuuliza swali 😃OK go on.. With meditation aspect
You're not competent unajua nitakudaka tuu🤣Tungejadiliana ingekua poa zaidi kuliko kuuliza swali 😃
Hapana sijafikiria bado kudakana , mengi tu huko juu ningetaka kukudaka ningekudaka mda tu , tunapojadiliana najua najibu kwa mawazo yako pia , pia najifunza vitu kuliko kudakana zaidiYou're not competent unajua nitakudaka tuu🤣
Wright ✔️ kuna vitu nimechukua kwako piaHapana sijafikiria bado kudakana , mengi tu huko juu ningetaka kukudaka ningekudaka mda tu , tunapojadiliana najua najibu kwa mawazo yako pia , pia najifunza vitu kuliko kudakana zaidi
Mda wa kusuuza koo kwanza 🍻 badae tukutane hapa😅Wright ✔️ kuna vitu nimechukua kwako pia
Haina nomaMda wa kusuuza koo kwanza 🍻 badae tukutane hapa😅
So basically tunajishauwa tu kutafuta mwisho wa ulimwengu
Also kuna quantum particles that behave differently when observedYaani mpaka nahisi ukubwa wa ulimwengu hauelezeki.
Lakini hata udogo pia ukomo wake haujulikani. Mwanzoni Dalton alisema matter is made up of small indivisible particles called atom, baadae ikajulikana kuna proton na netrons kwenye nuclear na electrons zikizurura nje ya nuclear na sasa hivi inajulikana kuna particles ndogo zaidi ya hizo so ukomo haujulikani.
Alafu pia hii ni dimension yenye kanuni zake, ukienda outer space unakuta kanuni mpyaYaani mpaka nahisi ukubwa wa ulimwengu hauelezeki.
Lakini hata udogo pia ukomo wake haujulikani. Mwanzoni Dalton alisema matter is made up of small indivisible particles called atom, baadae ikajulikana kuna proton na netrons kwenye nuclear na electrons zikizurura nje ya nuclear na sasa hivi inajulikana kuna particles ndogo zaidi ya hizo so ukomo haujulikani.
Also kuna quantum particles that behave differently when observed