Scientific fact na knowledge Thread

Mbona umeandika tu bila maelezo?
 
Universe na maajabu yake.

Kuna kitu kinaitwa expanding universe yaani universe inaendelea kupanuka kila sekunde inayoendelea.

Lakini jambo la kushangaza zaidi ni hili
Universe si tu kwamba inapanuka… bali upanuzi wake unaendelea kuongeza kasi.

Wanasayansi wamegundua nini?

Galaxies zote zinaonekana zinaondoka kutoka kwa nyingine
Na si kwa mwendo wa kawaida, bali kwa kasi inayoongezeka kila wakati.

Swali linalochanganya akili
Inapanuka kuelekea wapi?
Jibu la kushangaza ni kwamba,
Universe hainapanuki , ndani ya kitu kingine,
Bali space yenyewe ndiyo inajitanua.
Hakuna nje ya universe inayojulikana.
Mfano rahisi wa kuelewa
Fikiria pointi (dots) kwenye balloon,
Ukivuta balloon, dots zote zinaanza kutengana.
Lakini hakuna dot inayokwenda “nje ya balloon🤔


Galaxies zinatengana kwa sababu space yenyewe inapanuka, si kwa sababu zinakimbia kuelekea sehemu fulani.

Jambo la kushangaza zaidi

Kuna kitu kinachoitwa dark energy ambacho, hakionekani hakijulikani ni nini ,
lakini ndicho kinachosababisha universe ipanuke kwa kasi zaidi kila siku.


NB
Universe si kitu kilichotulia… ni kitu kinachokua na kubadilika kila sekunde.
Na jambo la kuvunja akili zaidi🤔
Huenda hata universe haina mwisho unaoweza kufikika kwa macho au akili zetu kwa sasa.
 
Hivyo basi
Hii una verify the first hermetic principle ya kuwa

All is mind,
The mind is all

We don't see reality, we creat reality through the mechanics of the mind

Even us. Yaani sisi hatupo bali ni ubongo na process zake ndo zinatufanya tuwepo.
 
Naomba unijibu!
 
Ndo maana in higher dimensions concepts of time perish..
Unabakiwa na infinity.
Sisi na kadunia ketu ni microcosm ya macrocosm
 


Sasa hii inatuthibitishia big bang ilitokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…