Science and Military Power of Different Nations

Science and Military Power of Different Nations

ivibration

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2013
Posts
363
Reaction score
73
Kati ya China, Urusi, Marekani na Israel, na wengine bila kusahau North Korea. Ni nani wadhani wako mbele katika sayansi yao ya kisilaha?
Binafsi, nadhani China wameendelea sana kuliko wengine. Hii ni baada ya kutazama Clip flani ya their military might display mwaka huu. Iwapo hawakutumia photoshop, basi nimewainamishia.
 
Out of topic!unaposema umewainamishia unamaanishaje?HUJAJITUKANA MWENYEWE?To the topicKatika kujionyesha na kujipa misifa ya nguvu za kijeshi kwenye media na wrong military ranks, USA wataonekana wapo juu, Lakini kiuhalisia China wanaongoza
 
Chezea USA wewe ina mizinga hadi ya kukutia kichaa ,achilia mbali kukufanya shoga
Hao wote wanaiga Weapon technology frm USA
Jamaa bado hajapitwa kwenye sekta ya Vita,labda masuala mengine that's why akisema naingia Libya ,basi ni mashambulizi ya usiku mmoja tu anamaliza vita
 
Sijui kama ni kipimo pekee ila hebu angalia Nuclear Forces Guide Siamini kama US wamejipendelea! Kuna zana wenzao wanazo wameficha ila US hawajajua na pia kuna zana US inazo ila haijasema pia..
 
wote wakali ila hakuna anayeweza kuomba muziki na Obama.
 
Out of topic!unaposema umewainamishia unamaanishaje?HUJAJITUKANA MWENYEWE?To the topicKatika kujionyesha na kujipa misifa ya nguvu za kijeshi kwenye media na wrong military ranks, USA wataonekana wapo juu, Lakini kiuhalisia China wanaongoza

mkuu una ka roho ka uzinzi ndani yako
 
Out of topic!unaposema umewainamishia unamaanishaje?HUJAJITUKANA MWENYEWE?To the topicKatika kujionyesha na kujipa misifa ya nguvu za kijeshi kwenye media na wrong military ranks, USA wataonekana wapo juu, Lakini kiuhalisia China wanaongoza

Kuinamishia ninamaanisha kuwasalute
 
Kati ya China, Urusi, Marekani na Israel, na wengine bila kusahau North Korea. Ni nani wadhani wako mbele katika sayansi yao ya kisilaha?
Binafsi, nadhani China wameendelea sana kuliko wengine. Hii ni baada ya kutazama Clip flani ya their military might display mwaka huu. Iwapo hawakutumia photoshop, basi nimewainamishia.

UNAKOSEA kumweka Israel na Marekani sehemu moja,
.
Hata ukimuulza mmarekani kat ya yeye na Israel nan zaid Hatakujibu naludia tena hata kujibu
.
Jiulze kwann!
.
Hakuna Marekan bila Izrael
 
kuna nchi kama India huwezifananisha na Israel, India is more capable and has more firepower than Israel lakini haipo kwenye list yako. labda useme Israel ina uwezo zaidi ya majirani zake pale middle east.

Kulingana na Jarida linalohusiana na kupima uwezo wa kivita wa nchi mbali mbali kwa kutumia vigezo tofauti ( Global Firepower - 2013 World Military Strength Ranking ), hii hapa kumi bora,,

qfzd.jpg

Pia uwezo wa kivita unachangiwa sana na Budget inayotengwa na serikali kwaajili ya Ulinzi. Budget kubwa inasaidia katika maswala ya Research and Development ndio maana Marekani wanafanya Research sana. Mfano mzuri ni namna walivyogundua ''Air Borne Laser'' hii ni anti ballistic missile defence system inayotumia laser beam yenye uwezo wa kuTrack na kuyeyusha Ballistic Missile Rocket yoyote within 330 Kilometer range!!
powerful-airborne-laser.jpg
abl747b-s.jpg
Airborne-Laser-Beam-and-Fir_large.jpg

Hizi hapa Defence Budget za nchi mbali mbali (in US $)!! Defence Budget ya nchi kama marekani ($689,591,000,000) yaani kiTanzania ni Shilingi (Trillion 1,130.929) au (1.13 Quadrillion TSh) kwa rate ya 1640 Tsh/$!!
ymrm.jpg

......
ihol.jpg

......
dt3s.jpg

18xs.jpg
 
UNAKOSEA kumweka Israel na Marekani sehemu moja,
.
Hata ukimuulza mmarekani kat ya yeye na Israel nan zaid Hatakujibu naludia tena hata kujibu
.
Jiulze kwann!
.
Hakuna Marekan bila Izrael
labda useme ''hakuna Israel bila Marekani'' lakini sio 'hakuna Marekani bila Israel', kwanza kabisa, kwasababu nchi ya Israel iliundwa mwaka 1948 chini ya Umoja wa Mataifa UN!! Chini ya rais wa Marekani miaka hiyo 'Harry S Truman', Marekani ilikuwa mstari wa mbele kuhakikisha azimio hilo linafikiwa ili kustrengthen U.S. presence pale Middle East. Toka mwaka 1985, marekani imewapa Israel misaada ya takribani $ bilioni 3 , Israel ikiwa mpokeaji mkubwa wa misaada kwa mwaka kutoka 1976 mpaka 2004. Marekani ni nchi kubwa na ina historia ndefu na imekuwepo tangu 1776 kwahiyo nadhani sio sahihi kusema hakuna Marekani bila Israel!! Marekani inaitumia Israel kama 'Strategic Ally' pale middle east na nchi hizo mbili zimekuwa zikishirikiana kwenye maswala ya kivita lakini kila mmoja ana maslahi tofauti. Israel ikihitaji Support kutoka Marekani na Marekani ikihitaji Israel ili kueneza diplomasia huko middle east..
 
Ona huyu mburukenge! Marekani ipo muda mrefu kuliko Israel. Check your history books.

Ikija kwenye military might hakuna aingizaye mguu kwa good 'ol USA.

JESHI LA MAREKANI LINATISHA!, LINA NDEGE ZISIZOPUNGUA 14,500
.
b52_2.jpg

.
B-52 Ikiwa angani
.
US+Navy+-+Aircraftcarrier+1.jpg

.
Manoari ya kijeshi ya marekani yenye uwanja wa ndege za kivita ikiwa imebeba ndege kadhaa za kivita
.
Jambo moja ambalo watanzania na watu wengi duniani hawafahamu ni uwezo wa jeshi la anga wa Marekani. Ingawa Siri kamili ya uwezo wa jeshi hilo wanayo wenyewe lakini kwa taarifa ambazo zimefanikiwa kupatikana katika mitandao mbali mbali ya internet ukiwepo mtandao mkubwa wa wikipedia nguvu za jeshi la marekani zinatisha. Taarifa katika mitandao zinaonyesha kuwa jeshi la anga la Marekani linamiliki ndege zisizopungua 14,500 zinazofanya kazi. Idadi hii ya ndege ni kubwa na huenda hakuna nchi duniani ambayo inaweza kufikia idadi za ndege za jeshi hilo. Aidha wakati urusi ikitajwa kumiliki silaha nyingi sana za kivita mitandao haijawa na kumbu kumbu za uhakikika wa hali za zana ambazo Urusi
hadi hivi sasa inazo. Katika ndege hizo, Marekani inamiliki ndege 74 aina ya B52 ndege zenye enjini nane, ni ndege ambazo ndizo ndege
kubwa zaidi duniani katika historia ya ndege za kivita. Ndege hizo ambazo kubwa kuliko ndege zote za kivita duniani ambazo pia ni muundo ambao haziwezi kudondoshwa kirahisi ni maalumu kwa mashambulizi mazito yakiwemo mashambulizi ya mabomu ya nyuklia. Aidha katika idadi hiyo ya ndege inazomilikiwa ndege 174 zimetengenezwa kuwa ushirkiano wa Marekani na kanada, 118 Uingereza na Marekani, 13 Marekani na Italia. Ndege 20 ni za kirusi, Ndege 142 ni za Kifaransa, ndege 43 ni za kiingereza, 23 za kikanada, 4 za Poland, 2 za
Kiholanzi, 13 za kihispania, 2 za kiswitzerland. Ndege nyingine zimetengenezwa na
marekani wenyewe na baadhi ambazo idadi yake haijafahamika
zimetengenezwa Israel.
.
Sasa we jiulize ndege zisizo faamika idadi katengeneza nan
 
Kati ya China, Urusi, Marekani na Israel, na wengine bila kusahau North Korea. Ni nani wadhani wako mbele katika sayansi yao ya kisilaha?
Binafsi, nadhani China wameendelea sana kuliko wengine. Hii ni baada ya kutazama Clip flani ya their military might display mwaka huu. Iwapo hawakutumia photoshop, basi nimewainamishia.
Hao jamaa wenye macho madogo kinachowasaidia ni wizi wa technology za watu wengine na si vinginevyo.
 
Back
Top Bottom