Waungwa nimeona si vibaya kushare na ninyi nafasi za kazi zilizo tangazwa na hapa ninapopatia rizk... hizi sio local posting ni za kimataifa.. na application process ni simple,, fungua doc ya kwanza kabisa (SCI job bulletin) hapa utakuta list ya contact address za post zote zilizo tangazwa.... unachotakiwa kufanya ni ku update CV yako vyema na kutuma hakuna cross katika international jobs na wala hakuna kitu kidogo.... narudia siombi pesa ni free ni wewe na Mungu wako na elimu na uzoefu wako... usiniulize requirements zote ziko wazi hapo hakuna siri. nitumie email yako kwa PM.. au mod wanielekeze jinsi ya ku attach .. nikikutumia watumie na wenzako maana sintokuwa na muda mwingi wa kumtumia kila mtu... niko frontline huku
Tafadhali nitumie pia,georgemassawe24@yahoo.com
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Alhamdulillah nimewatumia wote walionitumia email address kwa kuni PM na hata walo weka hapa hapa... cha msingi ni kama nilivyoeleza kwenye message yangu ya awali.. kuna word doc moja pale fungua hiyo kuna email address ya recruitment kwa kila mission.. naona wengine wananiomba JD kila kitu kiko hapo. OMBI NI KWAMBA KWA WALE WANOWEZA KUZI POST BASI NA WAFANYE HIVYO MAANA NITAKUWA SINA UWEZO WA KUJIBU MESSAGE ZOTE PIA INSHA ALLAH NARUDI HOME TZ LIKIZO NA SINA UHAKIKA KAMA NITAPATA MUDA MWINGI WA KUFOWARD LIST.... PLEASE SHARE KAMA NILIVYO FANYA MIMI... MUNGU WETU NDO MTOAJI WA RIZK.. MIMI NASHUKURU NIKO KAZINI NA WEWE WAWEZA PATA AU UKAWA CHANZO CHA MWINGINE KUPATA