School Room (Classroom)

School Room (Classroom)

kuna muda huwa machozi yananitoka nikiona aina ya maisha baadhi ya watu wanayoishi,
kwani huwa tunakuwaga tumemkosea nini MUNGU???!!
Huu sio mpango wa MUNGU sisi kuteseka kuna sehemu huwa TUNAKOSEA.
MUNGU NAOMBA UTUREHEMU
 
Back
Top Bottom